tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
[emoji2][emoji2][emoji23] D mbili tu zinakushinda alafu watu wakipata As unaungua moyo hajui wamewekeza pesa na muda wao kusoma...Semeni yooote ila as a teacher namuelewa dogo watoto wa shule za kata sio wasomaji kabisaaa km D mbili mtu anakosa za div 4,kweeeli?!!guys Ht kiswahili still wanafunzi wanapata F
Mtoto anaepata zero necta ni bure
Izo shule za serikali ndio tulizosoma tulio wengi na tumepata Grades nzuri tu lakini kwa kukomaa sio mchezo
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app