political monger senior
JF-Expert Member
- Nov 26, 2020
- 1,873
- 6,136
Ivi anajua hustling za kuandikia notisi kwenye paja mchikichini kwa Teacher Osama na Hidden uyu dogo?
Katafute wewe ila ni kuanzia juu kabisa dollar 8500
Kwanini baba yako hakuiba?Kwasababu baba yake anaiba mali ya umma anamsomesha feza boys, anadhania kila mtu yuko kwenye mazingira mazuri ya kujifunza.
Wewe baba yako aliiba?Kwanini baba yako hakuiba?
Huoni una baba kilaza?
Hajaiba ila hakuwa fala kama wa kwakoWewe baba yako aliiba?
Atakuja kuajiriwa na aliyefeli hapo atajua hajuiHuyo mtoto wazazi wake wanavompromote kila media,social networks ni kama super genius wa dunia ivi...kuna Tanzania one kibao nadhani walikuwa na uwezo mkubwa .wengine waliishia Kuwa walevi wengine maisha yao hayaeleweki...wazazi wa huyu mtoto wapunguze sifa mitandaoni bado huyu mtoto ni mdogo na anasafiri ndefu sana..iko siku mambo yatakwenda sivo hizi clip hazifutuki..na hugo dogo aache dharau kwa watu wanaofeli necta ..maana wakati mwingine iwezo binafsi na mazingira vinachangia sana mtu kufeli
TrueWatu wote wenye akili huongea kwa gestures
SawaSihitaji kupeleka mtoto shule alafu aanze kusahau Kiswahili na kujirembua (kuongea kwa ishara) namna hii. ukileta mtoto wa kizungu hapo utakuta anaongea straight tu, ila wa kibongo lazima alete mbwembwe. au angeletwa hata wa international school of TAnganyika tu. hata hivyo, nampongeza mzazi na mtoto kwa hatua hiyo.
Amesema kashift from NECTA to Cambridge alafu ni kama anaisiliba necta anasema kule Cambridge mitihani inakufundisha kufikiri and all that a good system can deliver when it comes to education, anyways ni opinions zake... Its a free country any body can say anything..Kwani form 6 si wanafanya mitihani ya NECTA?? Huyu kwa anavyozungumza ni kuwa hasomi mtaala wa NECTA
Hajui cha kuongea nenda cha kuandika uone moto wake shule za English medium ndizo huongoza kwa ufaulu.wa mitihani ya taifa sekondariDogo anajua hesabu lakini hajui Kiswahili. Hii ni aibu sana kwa mzazi.
Akili unataka ipimwe kwa lipi? Daktari hupimwa kwa kufaulu.mitihani kwanzaAkili ya kupata A au akili gani ?
Sina mengi sana, pamoja na utoto wake ila naona ana point.
Cc: Wanafunzi wa shule za St. Kayumba
Yeah ni hela ndefu kwa mlalahoiKatafute wewe ila ni kuanzia juu kabisa dollar 8500
Milioni zaidi ya 18