tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
Acha wivu na ujinga wako ,wazaz wanampromote wapi?hama uko uswazi kunafubaza uwezo wa kufikiriHuyo mtoto wazazi wake wanavompromote kila media,social networks ni kama super genius wa dunia ivi...kuna Tanzania one kibao nadhani walikuwa na uwezo mkubwa .wengine waliishia Kuwa walevi wengine maisha yao hayaeleweki...wazazi wa huyu mtoto wapunguze sifa mitandaoni bado huyu mtoto ni mdogo na anasafiri ndefu sana..iko siku mambo yatakwenda sivo hizi clip hazifutuki..na hugo dogo aache dharau kwa watu wanaofeli necta ..maana wakati mwingine iwezo binafsi na mazingira vinachangia sana mtu kufeli
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
