Mwanafunzi chuo kikuu UDSM apigwa risasi- Afariki

Mwanafunzi chuo kikuu UDSM apigwa risasi- Afariki

Status
Not open for further replies.
Wanafunzi wa vyuo vikuu badilikeni, msikae kisekondari humo vyuoni. Harakati nyingi kokote duniani zinahamsishwa na wasomi wa vyuo vikuu kama ninyi, ingawa utekelezaji wake wawezafanywa na makundi mengine. Ninyi ndo mna macho kwa maana ya akili kujua wapi serikali inakosea. Nachotaka kusema hapa ni kwamba mnatakiwa kuanzisha maandamano ambayo yatasambaa nchi nzima kuitaka serikali kurejesha amani na utulivu ktk vyuo na nchi kwa ujumla. Msisome tu kama kindergaten. Tafadhali, mabadiliko yanaanzishwa na ninyi. Kama msomi analalamika, bibi yangu wa Namanyere au Mbagala maji matitu afanyeje?
 
Ndugu Mwanamume, kama unayafahamu hayo kwanini usilianzishe wewe nasi tukuunge mkono? Kama maandamano ndiyo suluhu basi tulianzishe. Huko kwingine ambako maandamano yamewatoa viongozi si kuna amani tele wala hakuna shida?
 
Tunaomba hii thread ifungwe kwa sababu habari iliyotolewa juu ya kifo cha mwanafunzi huyo si sahihi, japo swala la kupigwa risasi ni la uhakika kabisa. Kama haitafungwa basi aliyepost atupe ukweli kuwa alikosea kwa kuandika habari ambazo hajathibitisha. Sisi kama wanafunzi tunaupenda uhai wa mwenzetu Alex. Uhai wake Usizungumziwe kimzaha na kuuwekea uhasimu wa kisiasa kama wa njiwa wa kafara. Tunahitaji habari za ukweli si kutupotosha. Taifa linajengwa na watu wakweli, si wanaosema lolote, popote, vyovyote, na kwa yeyote

;(;(;(;(;(;(;(;(
 
Kwa mujibu wa amplifire ya CLOUDS FM, kuna mwanafunzi amepigwa risasi usiku wa kuamkia leo tar.21/6 na vibaka pia wamepola laptop na simu na pesa kiasi! Kwa bahati nzuri aliwahishwa hospital na wenzake walio kuwa wakisoma nae usiku huo! My take: inaonekana siku hizi siraha zimezagaa sana mtaani! Kwa hali hii usalama wa taifa letu uko wapi?! Wanachuo UDSM tupeni detail zaidi hali yake inaendeleaje na uongozi wa chuo umechukua hatua gani!?
 
mkuu ebu tofautisha vibaka na majambazi.hao si vibaka wamepanda cheo ni majambazi
 
wewe unayesema mwezetu kafa wakati si kweli, nazzani hujui unachokifanya maana unaandika tu,,alaf wengi wenu mnachukulia masihara,, kiukweli mie mwenyewe mwaka wa kwanza nipo hall 6 jilan kabisa na yombo alipo pigwa mwenzetu niliumia sana nilipo muona jamaa yupo chini anahangaika mpaka jamaa(roo mate wake) ambaye ni 1 year alipo kuja na ghari lake kumpeleka hospital ya chuo,, ingawa ilikuwa ni usiku sana ( saa 9 kasoro) lakin huwez kumlaum /kuwalaum kuwa kwann mpaka mda huo kwan they say ,the feature is meastry
 
fortunho, mie nimeshindwa tu kuifunga hii thread, sbb ni ya uzushi kwani inaonekana wanaocoment wana interest za kisiasa na habari nyingi ni za uongo.
 
wewe unayesema mwezetu kafa wakati si kweli, nazzani hujui unachokifanya maana unaandika tu,,alaf wengi wenu mnachukulia masihara,, kiukweli mie mwenyewe mwaka wa kwanza nipo hall 6 jilan kabisa na yombo alipo pigwa mwenzetu niliumia sana nilipo muona jamaa yupo chini anahangaika mpaka jamaa(roo mate wake) ambaye ni 1 year alipo kuja na ghari lake kumpeleka hospital ya chuo,, ingawa ilikuwa ni usiku sana ( saa 9 kasoro) lakin huwez kumlaum /kuwalaum kuwa kwann mpaka mda huo kwan they say ,the feature is meastry
wewe ndo umenitia nguvu aisee; jana nilipofungua mtandao nikakuta jamaa wanatoa taarifa za kifo kwakweli nilistuka na nilijisikia vibaya; japo inaweza kuwa ni mipango ya Mungu lakini binafsi inakua ngumu kuipokea hiuo taarifa; hao wanaoleta habari za uchuro naona kama vile hawajawahi kufiwa na ndo maana wanafanya hivyo.
Ngoja tuzidi kumwombea Jamaa yetu ili Mungu amponye haraka.
 
Kazi ya policcm kama walivyoelekeza na mizengwe wakupinda ni KUPIGA TUUU. Tena wananchi wasi na hatia lakini kwa majambazi na vibaka naona policcm watakuwa wameambiwa WACHEKE TUU
 
Wanafunzi Wa chuo kikuu udsm waliokuwa wakijisomea kwa maandalizi ya mitihani ya mwisho wamevamiwa na kuporwa vitu vyote zikiwemo laptop 3 na mmoja wao kupigwa risasi na kukimbizwa hospitali.

Mgogoro mkubwa Ni kwa polisi Wa chuo(auxiliary) ambao hawakuonyesha ushirikiano katika kuwasaka wezi..
Matukio haya yamekuwa yakijitokea Mara kwa Mara chuoni hapa.

(get wel soon our brother..)

======= Updates =========


Nadhani ni vyema kuweka kumbukumbu sawa. Ndugu Alex hajafariki dunia
 
Wizi UDSM haujaanza leo, mimi ni victim wa ujambazi wa UDSM....epuka kukaa maeneo ya karibu na chochoro nyakati za usiku. Mf. Yombo si salama kabisa. Pia maeneo ya Hall 3 na vichaka vyake hadi juu kule kanisani ndo huwa vibaka na majambazi wanajificha. Kwa ufupi after saa 12 jioni hakikisha uko maeneo salama na ambayo wapo wanafunzi wengi.
 
TunasikiTika kwa taarifa hizi lakini huyo mwanafunzi alimuwa na ujasiri gani wa kuwafuata hao wezi kuwaomba soft copy? Huu ujasiri wa kishuleshule mbaya sana. Na kwa bahati nzuri aNgefanikiwa kupata soft copy sijui angejiweka kundi gani
 
Jamani naomba kujua ni kweli yule mwanafunzi wa UDZM aliyepigwa risasi kafariki au ni uzushi tuu,,,, mwenye info tafazali
 
[h=3]UPDATE: MWANAFUNZI WA UDSM ALIYEPIGWA RISASI YA TUMBO CHUONI HAPO AFARIKI DUNIA[/h]


HABARI zilizotufikia hivi Punde zinasema kwamba mwanafunzi ALEX ROBERT wa chuo kikuu DAR ES SALAAM (UDSM) amefariki dunia mchana huu katika HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI ambapo alikuwa amelazwa kutokanana kujeruhiwa na risasi ambyo alipigwa na majambazi waliomvamia akiwemo yeye pamoja na wenzake watatu.

MWANA.jpg

1.jpg




[h=2]UPDATE: MWANAFUNZI WA UDSM ALIYEPIGWA RISASI YA TUMBO CHUONI HAPO AFARIKI DUNIA - MPEKUZI HURU[/h]
 
so sad,rest in peace,you died while fighting for you future
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom