Mwanafunzi chuo kikuu UDSM apigwa risasi- Afariki

Mwanafunzi chuo kikuu UDSM apigwa risasi- Afariki

Status
Not open for further replies.
Mimi kinacho nishangaza siku hizi majambazi yanaiba laptop kwa bunduki...alafu kkama zina password wanazifanyaje...?
 
Ndugu Masai Gel na wenzako mnaopenda wenzetu wafe katika matukio ya kusikitisha ili mpate mtaji wa kisiasa sijui mna jipya lipi? Mtamweleza nini Alex siku mkikutana nae? Mlitutangazia hapa kuwa Alix amefariki na kuleta taharuki hasa kwa wanafamilia kumbe si kweli. Alex alifanyiwa upasuaji na kutoa vipande nya marsao mwilini na anaendelea vyema, hata hivyo madaktari wanaangalia ikiwezekana kwenda nnje ya nchi kwa matibabu zaidi.

Nilishangaa sana mwandishi mmoja wa habari sijui kanjanja yule, eti anamuuliza Alex anajisikaje kukosa mitihani, yaani bila aibu!! Kwanza sioni sababu ya kwenda kumuulizauliza maswali mara kwa mara, cha msingi ni kumuona na kumtakia pole basi.

Sasa niwaambie hata Mh. Rais leo amemtembelea wakati akipita kutoa pole kwa wagonjwa pale muhimbili. Tuache siasa kwenye maisha ya watu jamani hasa kumtakia kifo. Get well soon Alex
 
duh, no evidence no right to speak,, jamaa mzima

Sure, kuna dogo wangu yupo hapo UDSM aliniambia wanafunzi walizusha jamaa kafa ili waweze kuchua attention kwenye uongozi wa chuo kwani matatizo ya wizi yamekithiri na polisi wapo wanazunguka bila msaada kwa wanafunzi, kwaiyo jamaa ni mzima..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom