Mwanafunzi chuo kikuu UDSM apigwa risasi- Afariki

Mwanafunzi chuo kikuu UDSM apigwa risasi- Afariki

Status
Not open for further replies.
si kila mahali ni pakuhusisha na siasa,jifunze!
Huwezi kukwepa siasa katika nchi zetu hizi. Kama viongozi wetu wote ni wana siasa nadhani hata Akina Mkandara na baadhi ya wakufunzi ni wanasiasa unatemea nini. Wanaopanga walinzi hapo ni wanasiasa. Wanaosema watelewe pia ni haohao
 
Tunashukuru wanajf wote kwakuungana nasi wanaudsm kulaan kitendo alichofanyiwa mwenzetu mm ni mmoja wa walioshuhudia tukio na nilikuwa naishi block moja na alex lakini mpaka mda huu naandika taarifa nilizonazo jamaa bado anaendelea na matibabu na c vinginevyo kama jinsi tulivyockia,naendelea kutafuta taarifa kwa wanafunzi wenzangu kujua zaidi na ukizingatia chuo tumefunga
 
kaka KwA HIYO JAMAA HAJAFA KUMBE KAMA WATU WANAVYOSEMA?
 
Tunashukuru wanajf wote kwakuungana nasi wanaudsm kulaan kitendo alichofanyiwa mwenzetu mm ni mmoja wa walioshuhudia tukio na nilikuwa naishi block moja na alex lakini mpaka mda huu naandika taarifa nilizonazo jamaa bado anaendelea na matibabu na c vinginevyo kama jinsi tulivyockia,naendelea kutafuta taarifa kwa wanafunzi wenzangu kujua zaidi na ukizingatia chuo tumefunga
mbona sielewi hii thread?
 
Namwomba mwenyezi MUNGU taarifa yako iwe ndiyo ya kweli. Hata hivyo jamani tuache kutangaza mambo bila kuwa na uhakika. Ni vizuri tukafanya utafiti kwanza ikiwa ni pamoja na kuongea na madaktari na watu wanaoaminika kama mleta taarifa
 
hivi hawa policcm kazi yao ni nini. Hii siyo mara ya kwanza kwa wanafunzi kuvamiwa, kuibiwa mali zao, kujeruhiwa, kufanyiwa kitu mbaya-ifm. Ni hivi karibuni matukio ya kutisha yametokea katika taasisi za elimu nchini mfano chuo cha uuguzi dom, aia,ifm na sasa udsm. Cha kushangaza wanaofanya mambo haya hawakamatwi. Je; hawa policcm ni mpaka kamanda wao avamiwe ndio usikie kuna watu wamekamatwa?

inasikitisha sana najua huelewi kuhusu polisi umekaa kiushabiki umepandikizwa chuki zitakutesa sana kwani hakuna muda wa kukuelimisha.polisi hawawezi kumridhisha kila mtu.
R.i.p alex.waliotenda maovu haya walaaniwe.
 
Hv usalama wa wanafunzi wa kike ukoje huko? Si ndo full kubakwa...it's time chuo kiamue kufyeka yale mapori

Sent from my BlackBerry 9520 using JamiiForums
 
Poleni sana...R.I.P Alex

pale Chuo hapafai kabisa...mwaka jana kuna binti wa Ethiopia aliporwa laptop yake akiwa kanisani. Binti yule alikuwa CoET kama sikosei. Alidai alienda kusali kwenye kanisa la RC na ghafla aliingia muumini wakiume. Awali hakumtilia shaka lakini wakati anatoka muumini huyo alimtishia kumchoma na kisu asipompa laptop aliyokuwa amebeba binti huyo.

Wale askari wao nadhani baadhi yao wnashirikiana na wezi...maana matukio ya kuporwa yamekuwa mengi mno hapo chuoni.
 
Kwa maelezo haya, hizi taarifa zinakinzana hivyo zinatia mashaka.
 
Ni majangaaaaa udsm

Wewe uwe na neno la kusema!

Ni majanga ya serikali kushindwa kuwalinda wasomi wa Taifa letu la kesho!
ccm ni pigo kwa Taifa letu!

Lala kwa AMANI yake Bwana wetu YESU KIRSTO aliye hai sasa na hata Milele Kamanda wetu Alex!
 
Rafiki, wamekutumia hadi akili zimeota makunyanzi ya uongo! Muongo ni wewe bwana. Mie naongelea enzi za mwalimu wakati nasoma chuo kikuu. Ama kijiji chenu cha ujamaa kulikuwa na chuo kikuu? Toa aibu zako hapa

he?! ulikuwa unasoma chuo kikuu enzi za nyerere? kumbe bibi kabisa e? yesu wangu eee...nilifikiri kigoli.
 
lakini mbona kuna taarifa znasema alex hajafa ni mzma anaendelea na matibabu,sasa mbona taarifa ni tete?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom