Mwanafunzi chuo kikuu UDSM apigwa risasi- Afariki

Status
Not open for further replies.
wee fanya yako bhanaaa.... acha kumuweke mwenzio uchulo huo.. yupo MOI.
 
R.I.P Kamanda.
Tangu kuanzishwa Kwa "Green Guard" Silaha za moto zimeenea sana mitahani,

Tafadhali wanyanganyeni silaha hao vijana mliowapa la sivyo roho za wengi zitapotea
 
Dah Alex pumzika kwa amani.umetangulia nasi tutakufuata
 
Ole wao wezi watakaokamatwa udsm main cumpus na mabibo hostel!!!!!Rest in Peace Alex

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Kuna mambo huwa yanatupata Watanzania kwa kuwa tunaishi kwenye nchi yetu kama watumwa.
 
Co uchulo nimekuta kuna mtandao umeandika kwa vile JF napaamini thats wy nikauliza uku
 
police wote wanangaika na chadema ili wapate posho, hawana habari tena na usalama wa wananji na mali zao uenda ikawa haohao plc ndo wamefanya hilo tukio, wauze bagi washindwe kwenda kupora laptop nailaumu sana ccm yote haya ndo wasababishi... R.i.p kamanda najua uliteseka sana kuitafuta elimu ya chuo familia walijitaidi mwanao apate elimu ndugu zako pia walikuwa wanangojea uwakomboe ktk umasikn taifa pia limemkosa kijana mpiganaji wa maisha ila wapumbavu wamekua kisa laptop dah! So sad
 
So sad indeed
 
Mh!poleni wazazi na marafiki wote wa robert.Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi amein.
 
police wote wanangaika na chadema ili wapate posho, hawana habari tena na usalama wa wananji na mali zao uenda ikawa haohao plc ndo wamefanya hilo tukio, wauze bagi washindwe kwenda kupora laptop nailaumu sana ccm yote haya ndo wasababishi... R.i.p kamanda najua uliteseka sana kuitafuta elimu ya chuo familia walijitaidi mwanao apate elimu ndugu zako pia walikuwa wanangojea uwakomboe ktk umasikn taifa pia limemkosa kijana mpiganaji wa maisha ila wapumbavu wamekua kisa laptop dah! So sad

si kila mahali ni pakuhusisha na siasa,jifunze!
 
inasikitisha sana pale binadamu anapo muondolea binadamu kwenzake haki yake ya kuishi..
r.i.p alex
 
Rafiki, wamekutumia hadi akili zimeota makunyanzi ya uongo! Muongo ni wewe bwana. Mie naongelea enzi za mwalimu wakati nasoma chuo kikuu. Ama kijiji chenu cha ujamaa kulikuwa na chuo kikuu? Toa aibu zako hapa
Acha uongo watu wameliwa sana na simba vijiji vya ujamaa usichanganye mambo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom