Mwanafunzi chuo kikuu UDSM apigwa risasi- Afariki

Mwanafunzi chuo kikuu UDSM apigwa risasi- Afariki

Status
Not open for further replies.
As long as wamechukua Simu, Basi hao ni Vibaka na sio Majambazi. Na Naamini wakiwataka wanawapata hata asubuhi hii.

Mbili. Kwa vyovyote wana number za simu hao majambazi, Uchunguzi ni rahisi hapo, ni swala la kutafuta number zote za simu ziizo kuwapo mda wa saa nane wa tukio maeneo hayo, na pia kupata zile zilizokuwepo baada ya Tukio, Zitakazo kuwapo hazipo baada ya Tukio ni sample tosha kuwapata hao Vibaka.

Tatizo polisi wenyewe ni Majambazi na hilo la wizi wa Laptop kwa Dar ni Janga la Kitaifa inajulikana kabisa ni wakina nani wenye Mtandao huo wa wizi wa Laptop.

Jeshi limeoza. Mti anashindwa kumchunguza Mkewe unategemea nini?

Hapo kwenye RED unamaanisha mke wa CHAGONJA?? ile kesi yake ya utapeli iliishia wapi??
 
Wanafunzi Wa chuo kikuu udsm waliokuwa wakijisomea kwa maandalizi ya mitihani ya mwisho wamevamiwa na kuporwa vitu vyote zikiwemo laptop 3 na mmoja wao kupigwa risasi na kukimbizwa hospitali.

Mgogoro mkubwa Ni kwa polisi Wa chuo(auxiliary) ambao hawakuonyesha ushirikiano katika kuwasaka wezi..
Matukio haya yamekuwa yakijitokea Mara kwa Mara chuoni hapa.

(get wel soon our brother..)

======= Updates =========


pole nyingi na masikitiko makubwa kwa wazazi waliokuwa wanategemea hela ya boom toka kwa dogo pia na wanafunzi waliompoteza rafiki kipenzi wao..

ulinzi sasa unahitajika hapa tz maana ishakuwa kama kandahar
 
Hili wimbi la ujambazi sasa limezidi. Asubuhi ya leo duka moja pale Moshi mjini la Innosykes limevamiwa na majambazi na kupora laptop kadhaa kabla ya kutimkia kusikojulikana.
Ni wakati sasa serekali yetu idhibiti uhalifu huu.
Poleni sana wana mlimani kwa Msiba wa mpendwa wenu Alex
 
Oh my God, poleni sana jamani,jana nimepita pale kuchukua mizigo ya mwanangu wanayesoma na Alex so sad jamani,Mungu baba tunaomba umpe uponyaji Alex.Tusali Zaburi ya 30 kwa ajili ya Alex jamani.
 
kama alivyoagiza mr. Handsome wa ccm mh. Pinda kwamba hao waombolezaji wa huyo mwanafunzi mwenzao hawatakiwi kuuliza chochote, wala kukusanyika wala kwenda kuzika, kwa sasa polisi watakuwa bussy wakiendelea na uchunguzi wa huyo jambazi, hivyo ole wao wasitii amri ya polisi, wapigwe tuuuu!!!!!



hapo kwenye red kama pinda ni handsome wa magamba......wassira atakuwa nani????
 
Nathubutu kusema Tanzania hii serikali iko likizoni, waheshimiwa wabunge, waandishi wa habari na wengine wanapigwa hovyo tu na polisi.
 
Pumzika kwa Amani mwanafunzi wetu, tumaini la Tanzania ijayo, tumaini kwa wazazi, ndugu na jamaa.

Poleni sana wote mlioguswa na msiba huu mkubwa!
 
pinda kapige na hao wanafunzi kwanini wanawafuatilia majambazi....kauli ya pinda imeanza kutekelezwa .......piga
 
polisi wetu wanajua kupambana na chadema tu, hawajui kupambana na majambazi!
 
Mods tafadhalini unganisheni uzi huu na ule wa awali wa kushambuliwa wanafunzi na kupigwa risasi. Kuna watu naona hawaelewi kinaongelewa kitu gani hapa.

Pumzika kwa Amani mwanafunzi wetu!
 
hii pia ni sababu ya ruhusa ya waziri mkuu bungeni jana? Sababu polisi hawana woga wowote... Hakuna mashitaka lakini hao mawaziri na wabunge wanao hawasomi nchini na pia hawafanyi kazi nchini
rip mwanafunzi, kwa kauli ya pm inaelekea mwanafunzi alikatalia laptop yake ikapibi apigwe risasi na auawe. Naona utekelezaji umeanza mara, implication ya kauli ya pm ndio hiyo kwa taarifa yake. Mnakumbuka ruksa ilivyoibuaga mambo mengi?
 
jimbo la mnyika hili " ubungo "... Badala ya kukangalia mazingira ya ulinzi ndani ya jimbo lake yeye kiguu njia ... Wana ubungo mnyika hafai .. Ona watoto wanakufa kizembe ....

R.i.p alex
 
R.I.P Alex.Mungu wa Ibrahim, Mungu wa Isaka, Mungu wa Yakobo walinde watoto wetu katika shule mbalimbali na vyuo mbalimbali,uwe nao Baba uwaepushe na udhalimu wanaofanyiwa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom