Mwanafunzi atengeneza simu isiyotumia air time

Mwanafunzi atengeneza simu isiyotumia air time

kilicho andikwa hata akieleweki, mtoa mada upo. sas mtu anatengeneza simu ina fanya kaz bila cheap huo nao ni ugunduz ? nimejiuliza maswal mengi
mfano ukitaka upige simu kwa mtu yeyote kama wew mtoa maada, ntakupigia vip sas ? yaani namaanisha nin kitatuonganisha wew upo voda, mim from no mtandao inawezekanaje duu!!!
So far wataalamu wanataka kuachana na matumiz ya CHIP. unakua na namba inaitumia km unavotumia Email yko. so ugunduz n jambo moja. Kuendeleza ugunduz ni jambo la pili.
Inaweza kua n kitu cha zaman but materials,age,resources,academic knowldge matters.
 
Simon Petrus Invented Phone In Namibia Which Does Not Use Airtime (Photos,Video) by ebosie11(f): 5:35am On Jul 31
A Grade 12 learner in Namibia’s Ohagwena Region has invented a sim-less mobile phone that allows users to make free calls and watch one TV channel.

Simon Petrus, a pupil at Abraham Iyambo Senior Secondary School, created the phone using spares from a phone and television set.

Complete with a light bulb, fan and charger socket, the handset functions off power supplied through a radiator and is able to make calls to anywhere through the use of radio frequencies.

The invention, which is made up of a radio system, is attached to a box and also allows the user to view one TV channel on it.

He is also able to watch NBC1 TV on his box.

No stranger to the world of creation, Petrus is reported to have won a gold medal at national level last year for his invention of a two-in-one machine that works as both a seed drier and cooler.

The shy learner has admitted to working on his invention for two years through money provided by his unemployed parents.

Petrus claims that he invented the phone in the hopes that it would be successful and be able to be carried further.

Source: See Photo Of The Phone Invented By A Pupil In Namibia Which Does Not Use Airtime(Photo) ~ Welcome to Trezzy Blog
Asante sana Bro
 
Kikongwe wangu cc compact njoo ujifunze Na ww unitengenezee Na mm ati.
 
Huku kwetu ukijifanya mgunduzi utakiona cha mtema kuni toka Tcra,,
Kuna Mnyakyusa mmoja kajifanya kutengeneza Chopa yke,, akaipaka na Rangi ya bendera ya Tanganyika,, walichomfanyia hao Tcra hata kaa asahau huko kwao mbeya,,
Hadi juzi Afrika kusini walipomwonea huruma wakamwita aende kwao wampe pole kwa manyalila yaliyompata huku kwetu.
Tcra na chopa???[emoji23]
 
msaada wanajamvi simu yangu ya samsung nikiwasha inaanza proccess zote za kuwaka ikifika kwenye hatua ambayo screen inaonyesha neno sangsung basi ina baki hivyohivyo aizimi wala kuendelea ila inabaki hivyo hivyo ikiandika neno samsung itakuwa inashida gani jamani kasimu kenyewa hata mwaka akajamaliza.
 
Mimi ilishanitokeaga kama hivo ikani gharimu R120 cz nilipopeleka kwa fundi alinidanganya kuwa ni system inatakiwa aiupdate bt haikuwa kweli. Nilimuona akibonyeza Menu na sehemu ya kuwashia kwa pamoja kisha Akaiformat simu ikakubali. Kiukweli ile pesa nilimpa bure tu cz baada ya ilivyotokea tena niliirekebisha mwenyewe. So chakufanya hapo ni kuiformat na itakuwa powa
 
mkuu ukiona tu mtu anadai amegundua kitu fulani bila technical specification ujue kuna namna. ni rahisi kwa watu wa kawaida kumpa tuzo huyo jamaa sababu hawafahamu hata alichofanya ni nini. sio kwetu Africa tu hata huko ulaya wanafanya sana mambo haya ya kuwapa watu sifa wasizostahiki mfano mzuri kumbuka tu ile issue ya yahoo na yule dogo wa summly.

mfano mimi hapa kutokana na huo uzi najiuliza maswali haya
-mahusiano ya bulb na alichogundua/kutengeneza
-inapiga simu popote amemaanisha nini? dunia nzima? kama ni dunia nzima mfano anapiga simu marekani kitu gani kitahamisha data toka pale alipo hadi marekani?
-mbona tuzo amepewa kwa ajili ya kitu chengine ambacho mleta mada hajakizungumzia na amezungumzia ambazo hatujaambiwa kama amepewa tuzo?

hio seed drier sijui amemaanisha mashine ya kukamulia mbegu? mimi huwa namheshimu sana mtu ambae anafanya innovation kutokana na mazingira yaliyomzunguka kuliko hizi impossible dream.
Hiki ndicho tunachokiweza sisi watanganyika yaani hatuishiwi kukosoa na inavyoonekana tumebarikiwa mapepo ya wivu kwa mafanikio ya wengine hatuzunguzumzi ila ubaya tu kwa watu wanaojaribu hii inafanana na issue ya MO na simba ambapo kuna binadamu pamaoja na umaskini wake bado anakosoa kwamba ile milioni 100 ni ndogo sana khaaaa hebu tubadilike jamni daaah
 
sababu umeongelea mpira na mimi ngoja nikupe mfano wa mpira,

siku moja Timu ya taifa Tanzania ilikuwa inacheza na Cameroon matokeo yalikuwa bado 0-0 mtangazajii wetu wa redio akaanza kuropoka "Ngasa ni Bora kuliko Etoo, Ngasa ni Bora kuliko Etoo" zikapita dakika chache tu Etoo akatufunga goli 2 mechi ikaisha tumefungwa mbili kwa bila.

hivyo ndio tulivyo Tanzania tunapenda kusifia vitu ambavyo ni dhaifu na akili zetu zinatudanganya kuwa hiko kitu ni bora

sasa hivi duniani kuna indiegogo, kickstarter na project kibao kama una idea nzuri unaipeleka wenye mali wanakusaidia unaifikisha idea sokoni, sasa nambie wewe kwa akili zako idea ya huyo jamaa anaweza akampelekea nani akapewa hela? katumia mabaki ya tv na simu kutengeneza simu kubwa kama tv yenye tv.
0-114.jpg

hizi ni baadhi ya project ambazo zipo successfull funded kickstarter toka Africa, ziangalie halafu zifananishe na huyo kijana
http://techloy.com/2014/01/22/12-african-technology-based-projects-successfully-funded-kickstarter

ukiangalia project zote hizo zinafanana na mazingira yetu ya ki Africa na zinatekelezeka, na watu wamepata hela za kutosha tu, mtu anapata hadi milioni 400.
 
naj
Mimi ilishanitokeaga kama hivo ikani gharimu R120 cz nilipopeleka kwa fundi alinidanganya kuwa ni system inatakiwa aiupdate bt haikuwa kweli. Nilimuona akibonyeza Menu na sehemu ya kuwashia kwa pamoja kisha Akaiformat simu ikakubali. Kiukweli ile pesa nilimpa bure tu cz baada ya ilivyotokea tena niliirekebisha mwenyewe. So chakufanya hapo ni kuiformat na itakuwa powa

nimejaribu kufomat kwa kubonyeza menu na botn ya kuwashia lakini bado inaonyesha logo ya samsung,simu hii ni samsung galaxy j1 au kuna namna nyingine ya kufomat
 
Watanzania wana roho mbaya sana,mtu mwenye kipaji wanamdidimiza,wanajua tukimpa nafasi atatuzidi hata sisi viongozi wake.
Watu kama hawa wakipewa nafasi wataiweka vema nchi yetu kwenye nafasi nzuri zaidi.
Utasikia kwa sababu za kiintelejensia hasije wasilanaa na magaidi
 
Mkuu Kwanza hapo hakuna ugunduzi mpmpya hio ni assembling tu ya tools halafu hio simu yake hawezi tengeneza nyingi na zika operate properly, Chip ndo zinatenganisha mteja na mteja sasa hapo anaturudisha mambo ya radio call ambayo ni full interference of Waves yani muingiliano wa mawimbi...Anahitaji pongezi kwa kufanya ivo pia japo sheria sidhani kama zinaruhusu testing bila vibari...Bongo ni siasa siasa na wananchi hata taasisi za elimu ni siasa kuna dogo aliunda transmitter way back na kurusha mawimbi ya Fm radio hapa hapa tz mamlaka zilimfata na kumuonya aache kuingilia frequency za watu na wakamuacha bila kumchukua na kumuendeleza
saa nyingine kujifanya unajua sana kukusoa ni u f**kn we umeshindwa hata kutengeneza umeme wa biogas kwako unambeza mwenzako Tramper hajakosea watu kama nyie ndo mnatakiwa kurudishwa kwenye ukoloni adi akili zikae sawa
 
Mwanafunzi wa Darasa la 12 nchini Namibia ametengeneza simu isiyokuwa na sim card na wala haitumii muda wa maongezi kupiga simu.

Kwa mujibu wa New Era report, Simon Petrus mwanafunzi wa Abraham Iyambo Senior Secondary School, ametengeneza simu hiyo kwa kutumia spea za simu zilizoharibika na Mabaki ya tv iliyoungua na kuiunganisha na light bulb, fan and charger socket, simu hiyo inapata chaji yake kupitia radiator and inaweza kupiga simu popote pale kwa kutumia mawimbi za redio (radio frequencies).

The invention, which is made up of a radio system na ameiweka katika boksi ambapo unaweza kuangalia kupitia simu hiyo Chaneli moja ya Tv.

Mwanafunzi huyu huyu mwaka jana alishinda a gold medal at national level for his invention of a two-in-one machine that works as both a seed drier and cooler.

As a Tanzanian I believe that hata sisi watoto zetu wanaweza kugundua vitu vingi sana tunachotakiwa kufanya ni kuwapa nafasi.

Mtanzania? Kachomea mabati yake kama helicopter ambayo haijaruka eti kagundua helicopter
 
Hajakamatwa tu,ahaa kumbe si Tanzania bhana
 
Huku kwetu ukijifanya mgunduzi utakiona cha mtema kuni toka Tcra,,
Kuna Mnyakyusa mmoja kajifanya kutengeneza Chopa yke,, akaipaka na Rangi ya bendera ya Tanganyika,, walichomfanyia hao Tcra hata kaa asahau huko kwao mbeya,,
Hadi juzi Afrika kusini walipomwonea huruma wakamwita aende kwao wampe pole kwa manyalila yaliyompata huku kwetu.

"Tcra" na chopa wapi na wapi?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
wadau nashukuru kwa mawazo yenu kwani yamenisaidi kupata mwangaza wa kutatua tatizo langu bila kwenda kwa fundi.ni vema niwashirikishe na nyie ili msije mkaliwa na mafundi kumbe ishu ni ndogo ya dakika tano tu.Nilichofanya ni kama ifuaatavyo.
tep by step process for Samsung galaxy J1 Hard Reset
1) Switch off the mobile and wait about 10sec to 15sec.

2) This is important point for hard reset the Samsung galaxy J1 mobile. Just keep the volume (+) press the power button. Keep it all same time around 10 sec.

3) Now you are able to face a new interface that is android recovery option. It’s your point; in this interface you are able to see a list of menu items.

4) From the menu items you should select wife data/ factory reset and press power button for confirm it.

Samsung galaxy J1 Hard Reset
5) On the next steps the android recovery option want form you conformation you want to factory reset your android device? If you select “Yes” then all data will delete form your mobile.

6) Wait some time work is running after done the factory reset the phone again show android recovery option; now you should select reboot the mobile via volume (+) or (-). After sleeting press power button and your android device is reboot now
 
KM ITAKUWA NA frp HUTAWEZA LAZIMA UTAENDE KWA FUNDI TU
 
mkuu ukiona tu mtu anadai amegundua kitu fulani bila technical specification ujue kuna namna. ni rahisi kwa watu wa kawaida kumpa tuzo huyo jamaa sababu hawafahamu hata alichofanya ni nini. sio kwetu Africa tu hata huko ulaya wanafanya sana mambo haya ya kuwapa watu sifa wasizostahiki mfano mzuri kumbuka tu ile issue ya yahoo na yule dogo wa summly.

mfano mimi hapa kutokana na huo uzi najiuliza maswali haya
-mahusiano ya bulb na alichogundua/kutengeneza
-inapiga simu popote amemaanisha nini? dunia nzima? kama ni dunia nzima mfano anapiga simu marekani kitu gani kitahamisha data toka pale alipo hadi marekani?
-mbona tuzo amepewa kwa ajili ya kitu chengine ambacho mleta mada hajakizungumzia na amezungumzia ambazo hatujaambiwa kama amepewa tuzo?

hio seed drier sijui amemaanisha mashine ya kukamulia mbegu? mimi huwa namheshimu sana mtu ambae anafanya innovation kutokana na mazingira yaliyomzunguka kuliko hizi impossible dream.
Duuh.. hatari sana

Mkuu Chief mkwawa, nna king'amuzi changu cha star times kila nikilipia nalipa kuanzia Tsh.10,000 ambapo natakiwa nipate chanel zaidi ya 20, lakini cha ajabu chaneli nnazopata hazizidi hata 10 nimeshafanya kusearch mara kibao lakini hakuna kitu, nimewapigia sana Star times kuhusu hili tatizo nao njia wanazonipa hazina msaada kwenye utatuzi...

Nahitaji msaada wako kama unafahamu njia mbadala ya kuweza kupata chaneli zilizojificha tofauti na ilivyo kawaida.
 
Back
Top Bottom