Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 15,670
- 14,645
NILITENGENEZA 1979 LABADA KM UNATAKA TUTORIAL How to go aboutSasa mkuu unaweza tuwekea sample yako uliyotengeneza walau kwa video au picha tuione???
NILITENGENEZA 1979 LABADA KM UNATAKA TUTORIAL How to go aboutSasa mkuu unaweza tuwekea sample yako uliyotengeneza walau kwa video au picha tuione???
kwani huyo mtoto kaweka tutorial au kaweka kifaa kinachofanya kazi?NILITENGENEZA 1979 LABADA KM UNATAKA TUTORIAL How to go about
source please!!Mwanafunzi wa Darasa la 12 nchini Namibia ametengeneza simu isiyokuwa na sim card na wala haitumii muda wa maongezi kupiga simu.
Kwa mujibu wa New Era report, Simon Petrus mwanafunzi wa Abraham Iyambo Senior Secondary School, ametengeneza simu hiyo kwa kutumia spea za simu zilizoharibika na Mabaki ya tv iliyoungua na kuiunganisha na light bulb, fan and charger socket, simu hiyo inapata chaji yake kupitia radiator and inaweza kupiga simu popote pale kwa kutumia mawimbi za redio (radio frequencies).
The invention, which is made up of a radio system na ameiweka katika boksi ambapo unaweza kuangalia kupitia simu hiyo Chaneli moja ya Tv.
Mwanafunzi huyu huyu mwaka jana alishinda a gold medal at national level for his invention of a two-in-one machine that works as both a seed drier and cooler.
As a Tanzanian I believe that hata sisi watoto zetu wanaweza kugundua vitu vingi sana tunachotakiwa kufanya ni kuwapa nafasi.
kwani huyo mtoto kaweka tutorial au kaweka kifaa kinachofanya kazi?
Muulize aliye anzisha tread hii soma pia details za threadkwani huyo mtoto kaweka tutorial au kaweka kifaa kinachofanya kazi?
Bongo ilo mustingekuwa hapa kwetu TCRA wangempiga marufuku kabisa kufanya huo mchezo tena
Dah elimu ya muda huo mtu unamaliza darasa la saba hata cha kufanya unacho lakini Leo form two kusoma na kuandika ni kitendawili sijui tunaelekea wapiKuna darasa la sita at 13 yrs old mwka 2000 alibuni redio station na kurusha matangazo ndan ya km moja apa Mburahat.cjui aliishia wap.km angewezeshwA hopin nw angekua mbali sana.alifel mtiani wa kumalza elimu ya msing.
Dah. Blaza inamaana hatuaminiani ama.?source please!!
ingekuwa hapa kwetu TCRA wangempiga marufuku kabisa kufanya huo mchezo tena
Hahahaha..Jf raha Sana..na angepotea kabisa na shule wangemfukuza.
Watanzania wana roho mbaya sana,mtu mwenye kipaji wanamdidimiza,wanajua tukimpa nafasi atatuzidi hata sisi viongozi wake.ingekuwa hapa kwetu TCRA wangempiga marufuku kabisa kufanya huo mchezo tena
Si ndiyo walewale vibanizi wa ngazi za juu?Kua mpole ndugu, usikurupuke kama huyu nanilinhii wa ccm,
Jifunze kutofautisha kati ya TCRA na TCAA yaan tanzania communication regulatory authority TCRA na tanzania civil aviation authority TCAA...
Utoege na link ya habari yako...Mkuu.
wengn wamejaaliwa ubunifu na uvumbuz. Elimu darasa hawajabarikiwa. So sad km tunawa-neglectDah elimu ya muda huo mtu unamaliza darasa la saba hata cha kufanya unacho lakini Leo form two kusoma na kuandika ni kitendawili sijui tunaelekea wapi