Mwanafunzi atengeneza simu isiyotumia air time

Mwanafunzi atengeneza simu isiyotumia air time

Huku kwetu ukijifanya mgunduzi utakiona cha mtema kuni toka Tcra,,
Kuna Mnyakyusa mmoja kajifanya kutengeneza Chopa yke,, akaipaka na Rangi ya bendera ya Tanganyika,, walichomfanyia hao Tcra hata kaa asahau huko kwao mbeya,,
Hadi juzi Afrika kusini walipomwonea huruma wakamwita aende kwao wampe pole kwa manyalila yaliyompata huku kwetu.
mkuu wamemfanyaje ???????????????
 
Duuh.. hatari sana

Mkuu Chief mkwawa, nna king'amuzi changu cha star times kila nikilipia nalipa kuanzia Tsh.10,000 ambapo natakiwa nipate chanel zaidi ya 20, lakini cha ajabu chaneli nnazopata hazizidi hata 10 nimeshafanya kusearch mara kibao lakini hakuna kitu, nimewapigia sana Star times kuhusu hili tatizo nao njia wanazonipa hazina msaada kwenye utatuzi...

Nahitaji msaada wako kama unafahamu njia mbadala ya kuweza kupata chaneli zilizojificha tofauti na ilivyo kawaida.
kama unataka chanell nyingi mkuu hamia tu FTA. tafuta dish na decoder yako ya mpeg4 yenye biss key na power vu utapata chanell nyingi tu.

kuhusu hao startimes sifahamu namna ya kupata chanell zilizojificha huwa zinatokea tu na baadae kupotea
 
Peleka hcho king'amuzi oficin kwao
 
kama unataka chanell nyingi mkuu hamia tu FTA. tafuta dish na decoder yako ya mpeg4 yenye biss key na power vu utapata chanell nyingi tu.

kuhusu hao startimes sifahamu namna ya kupata chanell zilizojificha huwa zinatokea tu na baadae kupotea
Sawa mkuu.
Ila hebu nifahamishe kuhusu hiyo FTA kwa ufupi.
Alafu gharama za hiyo decoder ya mpeg4 ziko vipi?

Asante.
 
Sawa mkuu.
Ila hebu nifahamishe kuhusu hiyo FTA kwa ufupi.
Alafu gharama za hiyo decoder ya mpeg4 ziko vipi?

Asante.
kwa budget ya chini kabisa ni around 140,000 hivi. 60,000 ya dish na 80,000 ya decoder sema ni decoder ya biss key tu bila power vu.

kwa quality nzuri zaidi inabidi uwe na kama 300,000 hadi 400,000 hivi upate decoder nzuri na dish kubwa la futi 6 kuendelea juu.

tafuta fundi karibu na kwako muulize chanell anazoweza kueka akupe na ushauri na kama upo dar nenda nyuma la jengo la simba msimbazi utapata vifaa vingi vya madish kwa bei nzuri.
kumbuka tu mpeg4, power vu na biss key. dish zuri la futi 6 kupanda
 
Asante sana kaka.. nitayafanyia kazi maneno haya.
 
Mkuu Kwanza hapo hakuna ugunduzi mpmpya hio ni assembling tu ya tools halafu hio simu yake hawezi tengeneza nyingi na zika operate properly, Chip ndo zinatenganisha mteja na mteja sasa hapo anaturudisha mambo ya radio call ambayo ni full interference of Waves yani muingiliano wa mawimbi...Anahitaji pongezi kwa kufanya ivo pia japo sheria sidhani kama zinaruhusu testing bila vibari...Bongo ni siasa siasa na wananchi hata taasisi za elimu ni siasa kuna dogo aliunda transmitter way back na kurusha mawimbi ya Fm radio hapa hapa tz mamlaka zilimfata na kumuonya aache kuingilia frequency za watu na wakamuacha bila kumchukua na kumuendeleza
Hata wanaotengeneza simu nao si wagunduzi kwa sababu malighafi wanqzotumia sio zao.
 
Utasikia kwa sababu za kiintelejensia hasije wasilanaa na magaidi
Na wengine duniani kote wanaogundua vitu tena ngozi nyeupe mbona hawastopishwi kwa kigezo cha wasije wasiliana na magaidi?
Hicho ni kisingizio tu cha mtu mwenye roho mbaya.
Roho mbaya kama hiyo ya kumbania mwenzio asikitumie kipaji chake ni ROHO YA KIMASIKINI.
 
Back
Top Bottom