Mwana JF yeyote aliyeko hapa Brajec Pub Mwenge......................!

Niko fiti mama...............hebu ngoja niimbe kidogo haka kawimbo.........
"Nitainua macho yangu, nitazame milima..............Msaada wangu utatoka wapi?...............Msaada wangu utatoka kwa Bwana................."


Nitafurahi kama umeshafika home.
 
husna na cat mbna mmemkimbiza mtambuzi? mpeni wasaa wa kukutana nae tuongee. nimeenda pale kakimbia
 
Mtambuzi bana,haya mkuu kwa raha zako,usisahau kuagiza supu ya kongoro,wanaitengeneza vizuri sana hapo.
 
Kaka Mtambuzi PM please kwani mimi bado nipo ESARP (Etina) hapa Survey... Fanya saa hizi..
Nimeshawajulia hawa.........Jumapili ijayo ukiona ID mpya yenye posti moja tu imerusha uzi hapa Chit Chat usemao, "Leo niko hapa Brajec." ujue ni mimi.........
 
Watoto hawa bana.... Cantalisia na Husninyo waminharibia siku...........Nimeamua kurudi home..........
Yaone vile sura mbaya kama mama yao......................LOL

hahaha mtambuz naamin mama yao ni mrembo kuliko waja wote kama wasema watoto wana sura mbya kama mama yao. mh nakosa la kusema
 
Back
Top Bottom