Mwana JF yeyote aliyeko hapa Brajec Pub Mwenge......................! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwana JF yeyote aliyeko hapa Brajec Pub Mwenge......................!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Mtambuzi, Apr 29, 2012.

 1. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #1
  Apr 29, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Nimekaa hapa Counter napata Kinywaji aina ya Jack Daniel na Barafu nyiiiingi..............
  Karibuni sana.......................LOL
   
 2. D

  Don Calvino Senior Member

  #2
  Apr 29, 2012
  Joined: Mar 3, 2012
  Messages: 115
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Jack Daniel si ndio ile marehemu alikuwa anakunywa kabla ya kifo? Kama ni hiyo siji bwana.
   
 3. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #3
  Apr 29, 2012
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Naogopa nisije kupata Brain Concusion,nipo Bar ya karibu.
   
 4. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #4
  Apr 29, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Nimeshasema ninaipoza kwa barafu nyiiingi......................!
   
 5. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #5
  Apr 29, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Nilikupita hapo.......... Si umevaa T-Shirt na Jinzi....................LOL
  Jack Daniel ikipozwa na barafu haisababishi Brain Concusion.............................
   
 6. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #6
  Apr 29, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  nirushie mishkaki kwa bluetooth
   
 7. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #7
  Apr 29, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,108
  Likes Received: 6,581
  Trophy Points: 280
  Umeanzaje.
   
 8. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #8
  Apr 29, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Njoo bana............Chukuwa Taxi nitalipa, ndo nimetoka kwenye ATM hapo Mlimani City kuchota Kijimshahara changu........LOL
   
 9. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #9
  Apr 29, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,108
  Likes Received: 6,581
  Trophy Points: 280
  Cantalisiaaaa kama unamtaka baba kamrudishe home.
   
 10. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #10
  Apr 29, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Nilianza na Valuu.........kama Starter na sasa nasongesha na Jack Daniel...................... Karibu sana mama Mkubwa.......... Muda mfupi ujao kuna kimwana atani-join................. just one night stand
  for drinks ONLY
   
 11. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #11
  Apr 29, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Mtambuzi ukimaliza hapo mwambie mtu akulete ETINA BAR iko karibu tu na hapo...near esap house!...hapo brajec wana posheni ya mbuzi ya ukweli!...
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #12
  Apr 29, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Nimewatelekeza Beach na mama yao..................
   
 13. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #13
  Apr 29, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Kuna kimwana ananichomesha mahindi hapa kwa kumsubiri...........Ngoja akifika nakuja huko kusongesha
   
 14. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #14
  Apr 29, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,108
  Likes Received: 6,581
  Trophy Points: 280
  Leo nitacheka nizimie najua baada ya muda mfupi hata simu watachua wenzio.
   
 15. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #15
  Apr 29, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,108
  Likes Received: 6,581
  Trophy Points: 280
  Usiwasahau tu.
   
 16. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #16
  Apr 29, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  kwan ww ndio huyo mwenye suruali ya kijani yenye marinda?...na shati kama la njano ivi sio?...
   
 17. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #17
  Apr 29, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,108
  Likes Received: 6,581
  Trophy Points: 280
  Yasikukute ya malima tu.
   
 18. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #18
  Apr 29, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Nimevaa Suruwale ya Cadet ya rangi ya grey na T-Shirt Nyeupe imeandikwa "Silaha pesa, kisu mzigo"
   
 19. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #19
  Apr 29, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Yaani baba, jana jioni nimekuomba hela ya tuition umesema huna..........
   
 20. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #20
  Apr 29, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Niko fiti mama...............hebu ngoja niimbe kidogo haka kawimbo.........
  "Nitainua macho yangu, nitazame milima..............Msaada wangu utatoka wapi?...............Msaada wangu utatoka kwa Bwana................."

   
Loading...