Mwana JF yeyote aliyeko hapa Brajec Pub Mwenge......................!

Mwana JF yeyote aliyeko hapa Brajec Pub Mwenge......................!

sist, niangalizie pensi langu chumbani kwako twende.

Ww njoo nshalichukua,nackia anahamia meeda km vp nshamtanguliza mama akamlie mingo pale sie twende tumfate hapo brajec tuondoke nae leo ndio atajua ana kikosi cha jeshi nyumban kwake!
 
Aahahahahha! Hiyo T-shirt balaaa!

Mi niko stereo bar, kinondoni na mtoto wa ukweli! Nakula castle lite taratibu sana huku namkusanyia nguvu! Yeye anakula amarula na shots za gin...nadhani baadae itakuwa balaa!
Mh! huo mkorogo wa Amarula na Gin............... sijui ndio ile cocktail wanaitaga KAMIKAZE................!
 
Ww njoo nshalichukua,nackia anahamia meeda km vp nshamtanguliza mama akamlie mingo pale sie twende tumfate hapo brajec tuondoke nae leo ndio atajua ana kikosi cha jeshi nyumban kwake!
Naomba tukutane nyumbani tafadhali................. tusidhalilishane uraiani...........................
 
Kuna yule profesa anatupaga lift kila cku ananiombaga no ya mama cjui kesho nimpe!!anaweza akawa baba mzuri etiii!
Sasa ndiyo unamkuwadia mama yako..........Kumbe ndio maana hata TF alisema hiyo ni fani kwa hiyo na wewe ushafuzu sasa.................
 
Kuna ka zed pineaple nakanyonya hapa sekunde napita hapo.
 
Sasa ndiyo unamkuwadia mama yako..........Kumbe ndio maana hata TF alisema hiyo ni fani kwa hiyo na wewe ushafuzu sasa.................

Bora yule,asa ww familia nzima tunakimbizana nawe huku mitaan hujali familia,maisha gani haya!
 
Back
Top Bottom