Mwana JF yeyote aliyeko hapa Brajec Pub Mwenge......................!

Nawashukuru,
kama walifanikiwa kwa hilo
walitimiza wajibu wao kwa mzazi.
Nakushukuru sana mama yangu kwa kuniita maana jana mshahara ndio ungeishia bar,
Tulimfungia kazi mwenyewe akaslim amri na kuongoza kurudi hm na mshahara wote uko mikonon mwa mama atakua anamgaia nauli tu ya kumfikisha ofisin na kumrudisha hm basi.
 
fanyeni hivyo hivyo,
itabidi mfanye utaratibu wa kuwa mnaenda kusaini
mshahara wewe na mwenzio husininyo
ili tuweze kumalizia ile nyumba yetu
kule tegeta.

Huo ndio mpango wenyewe na keshasain makubaliano,
Mshahara unatua kwa acc.ya mama alafu atakua anagaiwa nauli tu lol!
 
Nimekaa hapa Counter napata Kinywaji aina ya Jack Daniel na Barafu nyiiiingi..............
Karibuni sana.......................LOL

Heeee kumbe......Ulivyonisema siku ile mipombeeeee....... nkajua Babu anaasa mjukuu...kumbe ulevi wa JD kwa barafu nimeurithi kwako.
 
Mtambuzi Jana Boss alinibana nilikuwa jikoni nachoma mishikaki kisimu changu cha mchina vocha iliisha nikashindwa kuingia Chitchat..
Sasa lini tena utakuwa hapa ..nikutie machoni??upate thupu baridi?
 
Yaani baba, jana jioni nimekuomba hela ya tuition umesema huna..........

dah kumbe na dogo yumo humu..! hii ni baraa sasa..! hebu watoto wanaodhania kua wazazi wao wapo hapa jf wanyooshe vidole....!
 
Back
Top Bottom