inaelekea unafatilia sana aisee, haya asubuh hii ameamkaje? Lolwakuu, menzetu hali yake haikuwa nzuri usiku wa leo..
homa ilipanda sana na kumletea mshkeli, tunashukuru Mungu baadae ilishuka.
hali yake kwa sasa haijatengamaa vizuri wakuu.
asanteni..
thanks baaaab! next time uwe na orodha ya vibinti unavyovifukuzia na kuvichinja..! lols..
inaelekea unafatilia sana aisee, haya asubuh hii ameamkaje? Lol
get well soon under 20 wetu
Mungu amsaidie apone.Habari za sasa wakuu..
mwana MMU na JF kiujumla, bidada mango g,
hali yake si njema wakuu.. kuanzia usiku huu mida ya saa tatu, ameshikwa na homa, mpaka sasa anaugulia dawa.
Jamani tuchukueni muda huu kumtakia ugua pole..
Asanteni..
ennie unajua nimepost nikiwa na mgonjwa anashika shika shati!
sasa nikawa na presha mwenzio, niwie radhi kama nimekugusa moyo wako!