Mwana JF mwenzetu, mango g.. hali yake si nzuri wakuu!

Mwana JF mwenzetu, mango g.. hali yake si nzuri wakuu!

Pole Excel kwa kuuguza

Get well soon mango G
asante, ila usiwaze mbaaaaali eennh!! nshaaanza kuhojiwa mwenzio!!
umejuaje, we nani yake, nani anam-do huyo under 20! hahahaaa!! watu mnapenda utani aisee!!
 
asante, ila usiwaze mbaaaaali eennh!! nshaaanza kuhojiwa mwenzio!!
umejuaje, we nani yake, nani anam-do huyo under 20! hahahaaa!! watu mnapenda utani aisee!!

Wasi wasi tupa mbali wivu tu maswali yao kwetu hayo potezea

Tunakujua king excel
 
Excel Leo tarehe ngapi?? Ooioh umetudanganya
 
Last edited by a moderator:
wakuu, menzetu hali yake haikuwa nzuri usiku wa leo..

homa ilipanda sana na kumletea mshkeli, tunashukuru Mungu baadae ilishuka.

hali yake kwa sasa haijatengamaa vizuri wakuu.

asanteni..
 
Naombeni namba ya dada mango g ili nimpigie nipange nae nikamuone weekend hii!Nipo Tabata Mawenzi
 
Last edited by a moderator:
Excel Leo tarehe ngapi?? Ooioh umetudanganya
hapana mamii,

niko na binti mrembo mango g hapa, hali yake bado inasuasua...

angalia nimepost huu uzi jana saa nne usiku.. siwezi danganya kabisa wangu!
 
Naombeni namba ya dada mango g ili nimpigie nipange nae nikamuone weekend hii!Nipo Tabata Mawenzi
usijali mkuu, tuendelee kumuombea kwanza apone.. kwa sasa yuko nyumbani anatumia doz ya malaria japo hali inabadilika badilika..
 
Wasi wasi tupa mbali wivu tu maswali yao kwetu hayo potezea

Tunakujua king excel
hahahaaaa!!!! hata mie najifaham vizuri tu!-- ila hapa sitacheza rafu aisee!!
nimetulia tuli nauguza mie!
 
Back
Top Bottom