Mwana JF mwenzetu, mango g.. hali yake si nzuri wakuu!

Mwana JF mwenzetu, mango g.. hali yake si nzuri wakuu!

habari za sasa wakuu..

mwana MMU na JF kiujumla, bidada mango g,

hali yake si njema wakuu.. kuanzia usiku huu mida ya saa tatu, ameshikwa na homa, mpaka sasa anaugulia dawa.

jamani tuchukueni muda huu kumtakia ugua pole..

asanteni..

hivi tukianzisha thread kila anaeumwa homa hapa patatosha???
 
Habari zimenifikia kwa majonzi mengi sana. Jamani kipenzi changu mango g nini kimemsibu?

Excel hebu nipe updates hali yake ikoje kwa sasa na yuko wapi?
kwa sasa mkuu, mgonjwa wetu kapumzika, hali yake si mbaya sana! tuombe Mwenyezi awe nae!

sema tu ni muoga sana wa kuwa peke yake...!!
 
kwa sasa mkuu, mgonjwa wetu kapumzika, hali yake si mbaya sana! tuombe Mwenyezi awe nae!

sema tu ni muoga sana wa kuwa peke yake...!!

Amina,, Natumai Mwenyezi Mungu atamjaalia siha njema.
 
Tumtakie augue pole tena? Namtakia apone haraka kwa uwezo wa mwenyezi Mungu.
 
nimeshtuka nikajua Mango garden. apone kwa haraka
 
Kutafuta umaarufu kwa nguvu huku

Hakuna kazi ya kufanya
 
ulikuwa umemficha wapi? Ila naona anaendelea vyema sababu alikuwepo hapa jf at 23hrs yesterday
alipatwa na tatizo mida ya saa tatu usiku hivi jana, hapo ndipo hali yake ikabadilikia kabisa..
tunashukuru anaendelea vizuri kwa sasa..
 
Pole Excel kwa kuuguza

Get well soon mango G
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom