Mwana JF mwenzetu, mango g.. hali yake si nzuri wakuu!

Mwana JF mwenzetu, mango g.. hali yake si nzuri wakuu!

excel

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
22,460
Reaction score
17,947
Habari za sasa wakuu..

mwana MMU na JF kiujumla, bidada mango g,
hali yake si njema wakuu.. kuanzia usiku huu mida ya saa tatu, ameshikwa na homa, mpaka sasa anaugulia dawa.

Jamani tuchukueni muda huu kumtakia ugua pole..

Asanteni..
 
Pole bidada mshukuru mungu kwa kila hali ama hakika yeye ndie tiba ya maradhi yote"
 
Pole sana, ninaiman Mungu atakuponya haraka.
 
Kwani nani anakamega haka katoto? maana kuna watu walikua wanabet humu!
 
habari za sasa wakuu..

mwana MMU na JF kiujumla, bidada mango g,

hali yake si njema wakuu.. kuanzia usiku huu mida ya saa tatu, ameshikwa na homa, mpaka sasa anaugulia dawa.

jamani tuchukueni muda huu kumtakia ugua pole..

asanteni..

Mkuu yuko ICU? Mkuu ni jirani yako?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom