Mwana JF mwenzetu, mango g.. hali yake si nzuri wakuu!

Mwana JF mwenzetu, mango g.. hali yake si nzuri wakuu!

mango g pole my dia jaman utapona mdogo angu Window 7 alikuja kukuangalia?
 
Last edited by a moderator:
Pole, bado upo hospitali nikuletee bisi?
Kwani yuko sinema hadi umpelekee mgonjwa bisi unataka apaliwe bure

Usijali anaendelea vizuri na ameshatoka hospitali
 
Mkuu we mbna umekua msemaji bwana HARUFU, afu pm yangu ndio umeipotezea kbs
Samahani mkuu nilikuwa bize sana

Ndio nakumbuka kuhusu ile ishu tuliyoongea kwa PM halafu mida ilenda sana tulikaa PM masaa mawili hivi au matatu unakumbuka?

Hii PM yako ya mwisho nitakujibu, najua maongezi yetu yanachukua muda sana, baadae nitakufahamisha
 
No sio mimi, I once texted you and sadly you said there is prob with ya pm statem if you dont mind text me thru viber, wsp or tango
 
No sio mimi, I once texted you and sadly you said there is prob with ya pm statem if you dont mind text me thru viber, wsp or tango
Kwa bahati mbaya natumia tochi hayo makitu na mimi ni vitu viwili tofauti kwa kweli sina smart phone, kwahiyo nina uhakika sijawahi sema kitu kama hicho
 
Back
Top Bottom