Mwana FA v/s Lady Jay Dee....!!!

Mwana FA v/s Lady Jay Dee....!!!

I dont care abt anything ila kweli hat mm nashangaa MWANA FA kweli wa kumfanyia jide ivi??,jide alishirikian na fa kwenye ngoma nyingi kama alikufa kwa ngoma na watajuaje pamoj na msiache kuongea nyimbo ambazo jide ndo kazifanya ziwe hot cake,yaan fa unashindan na mwanamke????,dah unajishusha sana

Anashindana nae nini Jamani Dar tupo watu milioni 10 Sasa tar 14 wote twende Nyumbani Lounge Kuna sehemu ya kutuweka watu 50elfu pale? Acheni hayo mambo bana.
 
mwana ---- snitch toka kitambo VINEGA walishamuexpose yule mbwiga!..kwa iyo sishangai!..wafu fm siku zao zinahesabika,jamii ishaanza kuelewa!2shachoka habari za kumchangia msanii akifa,ni wakati wa wasanii kuneemeka wakiwa HAI!..
 
Ataumbuka mabwana zake FA waliweka bero na vinega wakaishia aibu na show yao mwisho wakaanza kugawa compii za bure na hapa mwanaFatuma na Ru gay wataumbuka... Magenge ni nouma na hayafi TEAM Anaconda
 
point ni kwamba kwasababu wote wawili wameshashirikiana kwenye track kadhaa,kuachiana gap ingekuwa na maana kila mmoja kushiriki katika show ya mwenzake ,ili mashabiki wafeel uhalisia wa burudani katika track walizofanya pamoja.Umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu


Muziki ni Biashara, na Biashara ni ushindani...
So huyo Bibi aache kulialia kila kukicha.
FA zima nae huyo mpaka mwisho.
 
mi hadi nipate lager labda ndo ntamuelewa huyu MwanaSOMETHING...
 
I used to respect FA alot, ila for now I just have one word for him,I mean only one word:
SNITCH!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kwa iyo siku iyo mnataka dar nzima ijae kwa jide?
Wewe pimbi mada hapa ni kwanini kila anapopanga kufanya show na Mwana FA nae anapanga tarehe hiyo hiyo na ikumbukwe hawa ni watu ambao wameshilikiana kwenye nyimbo nyingi sana naweza kusema ni marafiki, sasa wewe unareta mahaba yako na redio ya wafu....
 
Muziki ni Biashara, na Biashara ni ushindani...
So huyo Bibi aache kulialia kila kukicha.
FA zima nae huyo mpaka mwisho.
BIBI kakuzalia mama yako? au yuko lika na bibi yako ni kigezo gani unakitumia jide kumwita BIBI wakati hata umri wa mama yako hana...
 
Sasa ukisikia WANAUME KAMA MABINTI ndiyo hii sasa jamii ya huyu jamaa. Si nilisikia na Post-graduate Diploma toka Coventry University huyu mtu, hivi elimu yake imemsaidia kweli kama anakubali kutumiwa na wanaume wenzie kushindana na mwanamke? Nimemdharau sana huyu jamaa duh!
mwana fa hawezi kusoma coventry un
 
Kweli dar ina watu karibu 5 milion. Kila watatosha kweli kwa huyu bibi?
Kumbuka simple logics matter. Watu kibao tumejipanga kumwona Lady Jide aki-perform masongi yake ya enzi zile akishirikisha wasanii kibao akiwemo MwanaFA(eg alikufa kwa ngoma). Kwa hili MwanaFA kachemsha,
 
Mkuu unadhani kibiashara kuna tatizo, kama unaona utaweza kutengeneza pesa nzuri kupitia kwa kutengeneza beef na mwenzako?
Ile show ni ya Clouds Mwana FA amelipwa kwa ajili ya ku perform, yeye kosa lake lipo wapi kama waajiri wake ndio wanaopanga hizo tarehe za show?!
shit.. kwa hiyo ukilipwa umnanihii ma** utafanya hivyo kwasababu umelipwa pesa siyo kila kitu kuna mambo mengi unatumia akili yako na busara...siyo tu ukilipwa pesa basi unaeza kufanya chochote..au uje nikulipe uwe unashikishwa ukuta tuone kama utakubali.....
 
Kumbe elimu ina umuhimu pale elimu ikitumika. mwana FA kama amesoma alafu bado kilazwa asingesoma je angekuaje? But hapo UMEPOTEA{wanaume kama mabinti}. JAYDEE upo juu xana asee hadi chuga.a
 
kijana anatumika na mwisho wa kutumika huwa ni mbaya sana,kijana ni kigeugeu na mwisho wa ukigeugeu huwa ni mbaya
 
Back
Top Bottom