chopeko
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 1,527
- 1,112
Hivi katika hali ya kawaida kabisa huyu jamaa mwana FA anatafuta nini kwa dada yetu Jide? Jide mara ya kwanza show yake alipanga may 31 na mwana FA naye kapanga tarehe hiyo hiyo,waungwana tukasema labda imetokea hivyo tu kwa bahati mbaya!! Kutokana na kifo cha Ngwea....tarehe ikapangwa upya!! Sasa Jide kapanga tarehe 14 June eti na jamaa naye kapanga tarehe hiyo hiyo!!! Ana matatizo gani huyu jamaa asee!!!!! kama anatumiwa basi anatumiwa vibaya sana na anachemka...mwanaume mzima unashindana na mwanamke!!!!! Arrrrghhhhhhhh