Mwamvita Makamba: Bora buzi kuliko sembe

Mwamvita Makamba: Bora buzi kuliko sembe

BAK tuwekee link tujifaidie.Nlipataga deal la kupeleka bangi sijui Italy nimesahau nchi.Malipo usd 8000 teh teh watoto wa k.koo na ilala wana mambo.Nliogoba mie

😱😱😱😱
 
Last edited by a moderator:
watu wa dsm wa ajabu ajabu sana yaani kumbe wanachutama mwenzako anakuingiza midole anakusokomeza??afu mnashangaa kwa nini mashoga na wagawa tigo wapo wengi.
Bor
mijitu ya dsm sijui ikoj huku kwetu haya mambo hakuna kabisa.
 
Nackia uyu dada ananunua designer stuff kabisaa kama kina Kim K..viatu CLoubotin,Zanotti kumwaga madollari kununua haoni tabu ,haya sasa KITANZI AWAITS YOU,...!bado WEMA S

Bahati nasikia kitongoji alicho kamatwa kinaitwa "Maccao" sina uhakika ba spelling zenyewe hawanyongi kwa kesu hii ila atachezea mvua za kutosha akirudi kawa ajuza.
 
Dah, ila wema bana kama ni kuuza k basi yeye ni the boss of the market! Nasikia eti yule jamaa alokuwa akimuweka posta bana kamtema!!

Sasa jamani nimeshangaa juzi mi nimekaa tu kwangu nimetulia, mara namba ngeni inaingia! Jamani nauliza nani? Akasema wema S! Ohooo! Unataka nini? Ws؛‎ ooh, unajua ww ni hb naomba uwe wangu!
Mmh, mi nilikataa aisee!

samahani Excel huu mwezi gani. mchanga au pevu?
 
Last edited by a moderator:
Bora ulijiogopea ungekuwa lupango saa hizi unachezea mvua kibao, subiri niutafute lakini kutafuta uzi wa Dr ni kazi kubwa mno maana kwa siku anashuka na nyuzi kama 1,000 hivi.

BAK tuwekee link tujifaidie.Nlipataga deal la kupeleka bangi sijui Italy nimesahau nchi.Malipo usd 8000 teh teh watoto wa k.koo na ilala wana mambo.Nliogoba mie
 
amu siuoni huo uzi wa MziziMkavu ila nimeona mapicha ya watu waliomeza hayo madawa, hizo picha zinatisha aisee dah!!!!
 
Last edited by a moderator:
Nackia uyu dada ananunua designer stuff kabisaa kama kina Kim K..viatu CLoubotin,Zanotti kumwaga madollari kununua haoni tabu ,haya sasa KITANZI AWAITS YOU,...!bado WEMA S

yani wewe you all about buying designers stuffs....sio comment ya kwanza hii kukusikia unasema hivi.....inaonesha inakurusha roho sana ehhhe basi na wewe kuwa punda
 
kama huna akili- hujasoma na huna kazi,

kama ni mvivu na sio mbunifu,

mpenda dezo na huwezi honest living,

mara mia 'buzi' sio sembe!.

------

mwamvita ametoa ujumbe huu mkali baada ya mwanadada mwenzie #jackie-cliff kukamatwa na sembe huko china

muda si mrefu!

habari zilizoko kwenye mitandao mingi hivi sasa zinathibitisha kuwa, mrembo huyu pichani, yuko mikononi mwa wachina
To all chinese,

Sisi watanzania tumechoka kuwa na sifa mbaya kimataifa.tafadhari huyo "pundamtu"mliyemkamata na hasirudi huku tanzania hai,la sivyo hatuko tayari kununua bidhaa toka kwenu.
Kesi yake malize hulohuko huku kwetu itaonekana amebeba poda.acha mchezo na maccm
 
Anajishaua tu. Anataka kusema lile kasri lake kajengea hela ya mshahara. Au na yeye anataka kugombea urais.
 
Kuliko kufanywa punda bora uwe mama ntilie. Ukiangalia vizuri wengi wanaofanywa punda ni wadada warembo maskini. Ukichuna buzi kumbuka kuna kukamatwa na mwenye mali sasa uwe tayari kwa vita either kumwagiwa maji ya moto au acid . Kuliko utokewe na hayo yote bora uanzishe biashara hata ndogo tu naamini Mungu atakusaidia .

Umenena sahihi kabisa......buzi na lenyewe nuksi.....sijui kwa nini mtu apende mteremko wakati ana akili timamu na nguvu.....hakuna kitu raha kama mwanamke kujivunia jasho lako....
 
Hivi Yaeda chini inajumuisha na Mang'ola,Qangdeng na Baray?
Nimepita huko wakati fulani kwenye kautafiti. Ningekuona wallah nisingekuacha!!

Njoo Yaeda wewe nikuchomee kinyanyi kwa heshima na taadhima.......Yaeda iliyotukuka......Yaeda sisi ndio tunaendesha punda na hatugeuzwi punda.....
 
Njoo Yaeda wewe nikuchomee kinyanyi kwa heshima na taadhima.......Yaeda iliyotukuka......Yaeda sisi ndio tunaendesha punda na hatugeuzwi punda.....

Ningekuja lakini naogopa hii "Nukuu ya leo"

Ukipata mpenzi mpya, usianze kupigia watu kelele ukihisi unadate malaika......malaika wote wapo mbinguni hakuna anayeishi Yaeda Chini.....usidhani huyo ni bora kuliko uliyemuacha....ni kuvumiliana tu....
Ukiuza paka wako wa nyumbani...ukanunua mbwa.....there is no progress....they are all domestic animals....
sawa jamani....?

:majani7::majani7:
 
mi mwenyewe hamna mwanamke anayenitisha!!

wanawake wenyewe nyie wavaa suruali! heri hata mngedumisha utamaduni wa mini skirt, lakini si suruali!

akuu babu wee,SIO WOTEE...suruali nalo vazi,hupend wewe mwenzako linamchanganya,..utamaduni upiii,utamaduni hata nguo tulikuwa hatuvai,si bora hzo suruali
 
yani wewe you all about buying designers stuffs....sio comment ya kwanza hii kukusikia unasema hivi.....inaonesha inakurusha roho sana ehhhe basi na wewe kuwa punda

AHSANTEE KWA KUNI'FOLLOW..lols,ntueeee kabisa,niwe punda kwa lipii...will make legal money na designer stuff NITANUNUA KWA WINGII,nazipenda ndio TENA SANA,,they are good and classic,hazinirushi roho bali zinani'insipire kutafuta vyangu...upo apooo
 
Bahati nasikia kitongoji alicho kamatwa kinaitwa "Maccao" sina uhakika ba spelling zenyewe hawanyongi kwa kesu hii ila atachezea mvua za kutosha akirudi kawa ajuza.

hivooo eh,mhh pole yakee..haha ajuza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom