Mwamvita Makamba: Bora buzi kuliko sembe

Mwamvita Makamba: Bora buzi kuliko sembe

alikuwepo mkuu basi tu unajuwa wabongo kwenye matatizo ndio wanasafishia nyota!

kwa jinsi alivyoandika, inaonekana alikuwa anamponda bidada mwenzie badala ya kumpa ushauri nasaha!

hata katika maandiko ya mungu hataturuhusu kufurahia matatizo ya binadamu mwenzako lakini dada yetu ni tamaa ya maisha ya juu ndo inawaponza(maisha ya instragram)
 
mhh mkuu kwelii....hpundi kitu in those jeans...!?trousers zna wepesi unaweza kaa vyovyote,comfortable ,ht kwenye kusafiri au kazi baadhi ni nzur,pia mida ya baridi they make u warm na inatunza miguu,binafsi kw kwel surual navaa mara kw mara

mmh.. mi kwangu suru zinapoteza sana mvuto! i prefer chicks with light mini skirts ama awe amevalia zile zenu dress ndefu zinaoonesha bambataa inavyoenda, pa! pa! pa!.... teh! teh! vibinti vyenye mawowowo huwa vinanimaliza sana, basi tu!

suru zina disturbance nyingi mno, aarrgh! yani unapisha na mwajuma kama umepishana na juma! mmh.. hell no!
 
a straight line

and that is not real life!

wabongo wengi wanatumia theory kwamba, maisha ni mafupi!! hakuna muda wa kusubiri!!

digital-quotes-about-life.jpeg

mwishowe, wengi tunaishia kukamatwa na akina jet li!

1340372916-drug-raid-lands-marijuana-dealers-in-jail_1291459.jpg

hivi unayajua magereza ya china wewe?

hii ndio china black jail.. baada ya hapo, wanakuning'niza tu, otherwise mkataba wa nanii uongezwe! teh (nimetania jamani, nisitafutwe bure!)

china-black-jails-2009-8-12-0-40-58.jpg
 
Mwamvita ushauri uliotoa siku mtu na au wewe ukiu-practice kwangu naua with my bare hands!!!

hahaha, kwa hiyo makuna kwa kukimbilia? sembe noma buzi noma, kilichobaki watu wacheze na risk tu
 
DIAMOND ana afadhal ujue hela yake tunaona inatoka wap,show za above 10M kwake kawaida ckuiz,mara Cocacola m100,mara Voda cjui sh ngapi,atlst yeye
WEMA S pale kati hayo ma'Audi,Harrier nk ,mara nyumba m400 cjui,mara studio, mara dubai shopping,mara China,kwa biashara ipiii .,ht boutique ya kuzugia hanaa..ckuiz CD bongo movie haziuzik ht kdogo,na kaigiza movie ngap btw,nan amuhonge hela zote hzo?!!.....NANIIIII,KAMA SIO NGUVU YA SEMBE!..
Mkuu badiebey wacha wivu, Wema Sipitwi namuhonga mimi kwa maraha anayonipa bila kujalisha GPL na wana jamii mnasema nini, mbona hela ya kawaida tu hiyo?
 
eti mkuu!

kama mtu anaendekeza usharobaro, saa mbili am yuko kibarazani, serikali imsaidieje?

mtu anapewa mtaji, hata kama ni mdogo, anakula, ndugu tumsaidieje?

mtu kabahatika basi kupata pesa, hata kama ni za dawa japo siungi mkono, amezila zote bila malengo, tumsaidieje?

mi nadhani hawa wauza madawa wangekua wananyongewa pale uwanja wa taifa tukiwa tunawashuhudia, ingeleta

nidhamu kidogo hapa mjini!

Meona eeeeh......
 
hata katika maandiko ya mungu hataturuhusu kufurahia matatizo ya binadamu mwenzako lakini dada yetu ni tamaa ya maisha ya juu ndo inawaponza(maisha ya instragram)

dah, mkuu usinikumbushe maisha ya insta! niliishi maisha mazuri sana kule,

nilikula vizuri, nililala pazuri, shopping kila siku tena kwa pounds na euro,

nilitembelea porsche 918 spyder! McLaren P1! Hennessey vennom GT na Zenvo ST1..

chezea instagharamu wewe!

lazima wauze tu..!
 
dah! hakuna kitu kibaya kama kuishi maisha fake!
 
and that is not real life!

wabongo wengi wanatumia theory kwamba, maisha ni mafupi!! hakuna muda wa kusubiri!!

digital-quotes-about-life.jpeg

mwishowe, wengi tunaishia kukamatwa na akina jet li!

1340372916-drug-raid-lands-marijuana-dealers-in-jail_1291459.jpg

hivi unayajua magereza ya china wewe?

hii ndio china black jail.. baada ya hapo, wanakuning'niza tu, otherwise mkataba wa nanii uongezwe! teh (nimetania jamani, nisitafutwe bure!)

china-black-jails-2009-8-12-0-40-58.jpg

hee mbona kama wanalalia mbao za milango?hizi shida nazo hazina adabu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom