Mwamvita Makamba: Bora buzi kuliko sembe

Mwamvita Makamba: Bora buzi kuliko sembe

Access to social media and lack impulse control has landed a lot of people in hot water. Some have even lost their jobs. One stupid comment can go viral in just a matter of minutes.

We live in a different world now with this phenomenon of social media and citizen journalism.

And you talk about her having worked in PR....how about this EX-PR executive named Justine Sacco......

Source

Mwamvita got a life,let her tweet her thoughts like any other human with a social life!if you read between the lines you will understand she means School,creativity and a job will save you from this Pit!!STOP TAKING LIFE TOO SERIOUSLY kila saa!mtazeeka mapema!as if its Oprah's verified tweeter that tweeted this and it officially became a rule!!!
S/O to all angry commentors coming after my comment!I greet ya'll
 
Hamna kupanic hapa, ku panic kukiniona nakuja kwenyewe kuna panic.

Labda wewe usiyelewa tofauti ya passion na panic ndiye utakayeweza ku confuse the two.

Atoe options yeye kama nani?

Nani kamtuma atoe options?

Kuna mwenzake mtu wa PR mdada katuma tweet ya maneno ya ovyo ovyo, PR firm wamemfukuzilia kazi mbali.

Mtu wa PR hajui hata PR?

Sasa huyu Mwamvita anayetakiwa kuwa msomi na hao ambao hawana talanta wana tofauti gani kama ushauri ndio huu?

Anajua kwamba kuna watu wako "on the precipice" wanasubiri mtu yeyote anayejulikana kuhalalisha mabuzi tu wapate excuse?

Anatoa message gani kwa umma sasa? Kwamba yeye kapanda kufika hapo kwa migongo ya mabuzi?

si huyu ndiye anasemekana kuuza k yake ili bro wake jan apate pesa ya kampeni 2010?
 
Ain't nobody saying she shouldn't tweet.

But if you are going to tweet out some advice to young ladies out there, then tweet sensible advice.

Looks like there was some error with my comment,You should've read the whole if it!anyways good night Nyani,Merry belated Xmas!!! :-*
 
Wacha waliue huko likome,kila siku mnaambiwa ching chang hawana matani na madawa,mchina gani anaetaka kufanywa zombi??

mkuu sidhani kama nchi kama nchi inatakiwa kuwaacha raia wake kuishi na kuishia namna hii!

endapo serikali yetu ya dodoma itaweka mikakati madhubuti ya kupambana na vitendo hivi,

basi vijana wetu nao wasingekuwa wanabebeshwa wheat flour.

vijana nao tungepunguza tamaa za mafanikio ya haraka haraka, nako kungelileta nafuu!!

tatizo kila kijana hasa wa kike atataka aishi kama yuko heaven on earth.

si vyema kabisa!
 
hhahaahahaha,unatupaishaa mkuu...YN UKAMTOSA WEMA KWEUPEEE...HA HA,nmecheka kwel

no badiebey, mi si kwamba nakupaisha!

ishawahi kunikuta tena hii pale kwa aunt ezekiel bana kule mwananyamala, mi nilikaa basi pale delmont kwa nje najipatia soft moja mbili, mara ghafla huyu hapa mtoto! mmh, kumbe pale ndo kwao!
si akaanza swaga za oooh, unajua, mimi, sijui.. aaah, nkamwambia dada eleweka, unataka nini bana, tuko mjini hapa! basi akaamua kuvunja jipu! eti, i love you #excel ! aargh! mi bana nkaona hawa masupastaa wa bongo michosho tu! nilikula nae good time mara moja then nkasepa! afu ukincheki mwenyewe sina hata baiskeli! sijui napendewa nini mie!
 
Last edited by a moderator:
Kuliko kufanywa punda bora uwe mama ntilie. Ukiangalia vizuri wengi wanaofanywa punda ni wadada warembo maskini. Ukichuna buzi kumbuka kuna kukamatwa na mwenye mali sasa uwe tayari kwa vita either kumwagiwa maji ya moto au acid . Kuliko utokewe na hayo yote bora uanzishe biashara hata ndogo tu naamini Mungu atakusaidia .
 
no badiebey, mi si kwamba nakupaisha!

ishawahi kunikuta tena hii pale kwa aunt ezekiel bana kule mwananyamala, mi nilikaa basi pale delmont kwa nje najipatia soft moja mbili, mara ghafla huyu hapa mtoto! mmh, kumbe pale ndo kwao!
si akaanza swaga za oooh, unajua, mimi, sijui.. aaah, nkamwambia dada eleweka, unataka nini bana, tuko mjini hapa! basi akaamua kuvunja jipu! eti, i love you #excel ! aargh! mi bana nkaona hawa masupastaa wa bongo michosho tu! nilikula nae good time mara moja then nkasepa! afu ukincheki mwenyewe sina hata baiskeli! sijui napendewa nini mie!

😛😛😛😛😛😛😛😛
 
Last edited by a moderator:
Hamna kupanic hapa, ku panic kukiniona nakuja kwenyewe kuna panic.

Labda wewe usiyelewa tofauti ya passion na panic ndiye utakayeweza ku confuse the two.

Atoe options yeye kama nani?

Nani kamtuma atoe options?

Kuna mwenzake mtu wa PR mdada katuma tweet ya maneno ya ovyo ovyo, PR firm wamemfukuzilia kazi mbali.

Mtu wa PR hajui hata PR?

Sasa huyu Mwamvita anayetakiwa kuwa msomi na hao ambao hawana talanta wana tofauti gani kama ushauri ndio huu?

Anajua kwamba kuna watu wako "on the precipice" wanasubiri mtu yeyote anayejulikana kuhalalisha mabuzi tu wapate excuse?

Anatoa message gani kwa umma sasa? Kwamba yeye kapanda kufika hapo kwa migongo ya mabuzi?

Anatoa opinions yeye kama yeye,she has th right to say whts on her mind,..u cant impress every1 all the time,hata kama we ni PR,Huyo wa about AIDS it was way TOO MUCH,kw mwamvita cha ajabu nini,kashasema kama hujasoma ,huna kazi nk,means FANYIA KAZI HZO OPTIONS HAPO JUU ie soma,tafta kazi,ifanye,fanya biashara nk,ukishindwa kabisaaaa bora umchune mwanaume,sio kuuza sembe..ts disgraceful kufata shortcut ya sembe,
 
si huyu ndiye anasemekana kuuza k yake ili bro wake jan apate pesa ya kampeni 2010?

em wacheni kumuwangia SHEAN EXECUTIVE VODACOM, FAR kimaisha ukilinganisha na wnawake wengi wa kitanzania,my role model,...MUWACHENII ALALE,January ana uwezo kuwa kiongozi mkatae mkubali,
 
jamani naombeni niwaulize kitu,

nimepata nyepesi kwamba madawa haya yanavyowekwa tumboni huwa yanapitishiwa kwenye 0713 na kuelekezewa tumboni!

je hii ishu ni ya kweli?

kama ni kweli, inawezekana vipi jamani?
 
no badiebey, mi si kwamba nakupaisha!

ishawahi kunikuta tena hii pale kwa aunt ezekiel bana kule mwananyamala, mi nilikaa basi pale delmont kwa nje najipatia soft moja mbili, mara ghafla huyu hapa mtoto! mmh, kumbe pale ndo kwao!
si akaanza swaga za oooh, unajua, mimi, sijui.. aaah, nkamwambia dada eleweka, unataka nini bana, tuko mjini hapa! basi akaamua kuvunja jipu! eti, i love you #excel ! aargh! mi bana nkaona hawa masupastaa wa bongo michosho tu! nilikula nae good time mara moja then nkasepa! afu ukincheki mwenyewe sina hata baiskeli! sijui napendewa nini mie!

Hehehehhehe..Excel nazimia on my bed kw kuchekaa,uwiiiiii....ha hahah,WEMA NJE,AUNT KDOGO UKALEGEZA KAMBA,hahahah,bas sawa badO WOLPER
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom