Mwamvita Makamba: Bora buzi kuliko sembe

Mwamvita Makamba: Bora buzi kuliko sembe

Huyo mwanvita nae hamnazoo
Yeye yupo bize kujinadi kwa wazungu maana sidhani kama kuna mbongo anayejitambua atataka kuwa na Mwamvita kwa jinsi alivyo....anafanana mno na kaka zake, yule anaolewa na wazungu tu maana wao ndiyo wanapenda mademu weusi wa dizaini ile.
 
Hapa hakuna cha wadada wala wakaka.

Kawaambia wadada kuwa na buzi poa, mabuzi yenyewe ni kina nani sasa kama si wanaume?

Wanaume wakikataa kufanywa mabuzi utasemaje hizi ni habari za wadada tu?

Wateja wa anakofanyia kazi (Vodacom) supposedly "Business Performance Partner: Corporate Affairs for Vodacom International Business" wakikerwa na kauli hii na kutegemea standards za juu zaidi za professionalism utasemaje kwamba hili ni suala la wadada tu?

Afrika tunaangamia kwa UKIMWI, huyu anahalalisha mabuzi, wanaopiga vita UKIMWI tukikasirishwa na kauli hii, utasemaje inawahusu wadada tu?
heavyweight kitambo, halafu welterweight wana kuja na punch 1 wata isha!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom