Jamani povu la nini. Mwenyewe kawashauri wadada, sisi wakaka povu la nini? Mambo ya Ngoswe waachieni akina Ngoswe.
Lazima povu limtoke tu, manake ushauri huu unaweza kuchukuliwa na girlfriend wake, mchumba, au hata mke wake! Ikizingatiwa asilimia kubwa ya wanaume ni masikini hivyo pato lao ni dogo hivyo kupelekea kushindwa kuwamudu wasichana wao au wanawake zao! Hivyo baadhi ya wanawake wakikosa kwa wapenzi wao, options ni hizo alizozitaja Mwamvita I.e. mabuzi au sembe, au both!