Mwamvita Makamba: Bora buzi kuliko sembe

Mwamvita Makamba: Bora buzi kuliko sembe

Kuliko kufanywa punda bora uwe mama ntilie. Ukiangalia vizuri wengi wanaofanywa punda ni wadada warembo maskini. Ukichuna buzi kumbuka kuna kukamatwa na mwenye mali sasa uwe tayari kwa vita either kumwagiwa maji ya moto au acid . Kuliko utokewe na hayo yote bora uanzishe biashara hata ndogo tu naamini Mungu atakusaidia .
dada kila kazi nayo ina changamoto!

hivi mwasisi wa sembe transport management ni nani vile?

hivi siku hizi mgambo wameshamaliza bifu na mama ntilie?
 
Hebu nikazane na kilimo mie masika imekomaa nikivuna nije mjini kununua yebo..........
Mavuno yakigoma ntakuja nichune mabuzi lakini sembe ni big no.
 
sembe weee....usije ukakanyaga Yaeda......tuwache na vitunguu vyetu........

Hivi Yaeda chini inajumuisha na Mang'ola,Qangdeng na Baray?
Nimepita huko wakati fulani kwenye kautafiti. Ningekuona wallah nisingekuacha!!
 
jamani naombeni niwaulize kitu,

nimepata nyepesi kwamba madawa haya yanavyowekwa tumboni huwa yanapitishiwa kwenye 0713 na kuelekezewa tumboni!

je hii ishu ni ya kweli?

kama ni kweli, inawezekana vipi jamani?

mhh hii ni brand new kwangu
 
Jamani povu la nini. Mwenyewe kawashauri wadada, sisi wakaka povu la nini? Mambo ya Ngoswe waachieni akina Ngoswe.

Hapa hakuna cha wadada wala wakaka.

Kawaambia wadada kuwa na buzi poa, mabuzi yenyewe ni kina nani sasa kama si wanaume?

Wanaume wakikataa kufanywa mabuzi utasemaje hizi ni habari za wadada tu?

Wateja wa anakofanyia kazi (Vodacom) supposedly "Business Performance Partner: Corporate Affairs for Vodacom International Business" wakikerwa na kauli hii na kutegemea standards za juu zaidi za professionalism utasemaje kwamba hili ni suala la wadada tu?

Afrika tunaangamia kwa UKIMWI, huyu anahalalisha mabuzi, wanaopiga vita UKIMWI tukikasirishwa na kauli hii, utasemaje inawahusu wadada tu?
 
dada kila kazi nayo ina changamoto!

hivi mwasisi wa sembe transport management ni nani vile?

hivi siku hizi mgambo wameshamaliza bifu na mama ntilie?
Lkn kumbuka kazi zingine ni za uuwaji hebu ona kama huyo binti na wengine waliotangulia jinsi walivyotekeza maisha yao huku mabos wao wakiwaacha nyuma. Pia huoni kuwa jamii yetu imeharibika sana kwa madawa ya kulevya wengine hata wameibiwa kwa kuwekewa madawa ya aina hii kwenye vinywaji.

Ijapo kila kazi ina changamoto zake lkn zina kheri kazi zisizo na hatia au damu ya wengine mikononi mwako. Hii sio kazi ya kuishabikia hata kidogo.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kazi ipo.....kuchuna buzi ni sanaa km ilivyo sanaa nyingine!!

really? but sometimes ni kweli.. that is an art that use language to take money from men like mimi!

ila mimi ukinichuna, expect maumivu tu....!

manake dozi utayopangiwa.. haa!! you will pray poo!! teh!
 
Lkn kumbuka kazi zingine ni za uuwaji hebu ona kama huyo binti na wengine waliotangulia jinsi walivyotekeza maisha yao huku mabos wao wakiwaacha nyuma. Pia huoni kuwa jamii yetu imeharibika sana kwa madawa ya kulevya wengine hata wameibiwa kwa kuwekewa madawa ya aina hii kwenye vinywaji.

Ijapo kila kazi ina changamoto zake lkn zina kheri kazi zisizo na hatia au damu ya wengine mikononi mwako. Hii sio kazi ya kuishabikia hata kidogo.

To every action.....
 
nlijua wanakula kama pipu au ugali,af wakienda kutimba wanazitoa

ooh, pole!

usiwaone na nyodo na urembo wao! pale mayakuza lazima watie vidole kunako ama kunyweshwa midawa ya kuwachafua matumbo ili dawa zije nje! (sina uhakika sana lakini)

ila nasikia dawa ikikaa tumboni muda mrefu, inapelekea kifo cha aliyezibeba!
 
really? but sometimes ni kweli.. that is an art that use language to take money from men like mimi!

ila mimi ukinichuna, expect maumivu tu....!

manake dozi utayopangiwa.. haa!! you will pray poo!! teh!

wew wasema tuu,hujawapata wachunaji,unaitoa freely ,smtym hata bila kuombwa,kama Samsoni alisanda kw mtoto Delila(delaila),anyman hanitishiii,..
 
wew wasema tuu,hujawapata wachunaji,unaitoa freely ,smtym hata bila kuombwa,kama Samsoni alisanda kw mtoto Delila(delaila),anyman hanitishiii,..

mi mwenyewe hamna mwanamke anayenitisha!!

wanawake wenyewe nyie wavaa suruali! heri hata mngedumisha utamaduni wa mini skirt, lakini si suruali!
 
mh kwakweli watu wanataka maisha ya watu wengine kwa njia ya mkato na bado wengi watakamatwa tu na matokeo ndo hayo kukamatwa au kuuliwa kabisa tujifunze kukubaliana na kweli wa hali halisi ya kimaisha vidole havilingani kabisa ni kupambana kupata kwa halali
 
mkuu kuuliwa hauliwi mtu,

ila nchi yetu inaliwa ili kuokoa hao waliokamatwa!

hivi unafikiri akina matonya na masogange, hao wote ni mkono wa nani?

mi sijui aisee ila nina wac wac!
 
Hivi Yaeda chini inajumuisha na Mang'ola,Qangdeng na Baray?
Nimepita huko wakati fulani kwenye kautafiti. Ningekuona wallah nisingekuacha!!

....ha ha ha ha bashay a k a dongobeshi ... imboru!!!!

..diri diri....

....
cc Preta
 
Hebu nikazane na kilimo mie masika imekomaa nikivuna nije mjini kununua yebo..........
Mavuno yakigoma ntakuja nichune mabuzi lakini sembe ni big no.

humo humo kwenye yebo mama ndimo tunapitishia mzigo!

hivi hukumuona yule mdada jamani wa magomeni, kapakiziwa madawa kwenye begi yake ya nguo!

dada mjini hapa kuna mambo mengi mabovu yanatendeka, yani mpaka vitoto vya shule ya msingi navyo vinatumika, lakini bila kujua!

dodoma yetu imekaliwa na panya, wanakula na kupuliza!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom