Kifulambute
JF-Expert Member
- May 8, 2011
- 2,539
- 762
Honestly huwa nakaona haka kadada kama profesional prostitute...
so she is speaking from experience
mkuu hebu mtupie picha yake hapa!
inawezekana huwa napishana nae mara kwa mara pale benki kuu!
mwamvita makamba, kupitia ukuta wake wa twitter,
amepost haya kuwaasa wadada kuhusu sembe..
Girls:
kama huna akili- hujasoma na huna kazi,
kama ni mvivu na sio mbunifu,
mpenda dezo na huwezi honest living,
mara mia 'buzi' sio sembe!.
------
mwamvita ametoa ujumbe huu mkali baada ya mwanadada mwenzie #jackie-cliff kukamatwa na sembe huko china
muda si mrefu!
habari zilizoko kwenye mitandao mingi hivi sasa zinathibitisha kuwa, mrembo huyu pichani, yuko mikononi mwa wachina
wenye hasira kali dhidi ya wachafuzi wa afya za raia wao, baada ya kudakwa na kilo nzima ya unga!!
![]()
kazi kwenu wadada (na hata wakaka pia) mnaopenda maisha ya steep slope!!
Hakuwahi kuwa kinara kwenye kampeni za UKIMWI huyu?
Sasa anahalalisha mabuzi?
Why set such low standards?
Sembe inaua, ngoma inaua, sasa kwa nini kuhalalisha moja na kujifanya kushikia bango jingine?
Mara mia angekaa kimya, kwani lazima aseme?
Huyu ni mtu aliyefanya kazi za PR kwenye makampuni ya kimataifa!
Karibu.
EHHhhh em acha kupanic na wewe,she is giving options hapa,low standards kivipi,kwan lazma wote tuwe ma'CEO,..sasa kam huyu shule kichwani hana,kufanya kazi atafte za halali hataki,na spotlight ; anaitaka,si bora achune mtu,hutafungwa ukichuna,bt nat Sembe...
View attachment 129478
:A S cry:
Na kwa mfano hata kupata buzi imeshindikana, kuna option nyingine au ndo basi tena?
, she's a nobody! To me, namuona she's plainly bogus .
kuliko athari ziwaendee wengine ufaidike wewe bora udhurike wewe na magonjwa n everthing ukatuachia ndugu zetu salama.