Mwamvita Makamba: Bora buzi kuliko sembe

Mwamvita Makamba: Bora buzi kuliko sembe

no! mkuu naona unamsema kwa hasira sana mtz mwenzio!kumbuka katumia resources za nchi kusoma! hivyo basi huko aliko inabidi aiwakilishe nchi in appropriate manner!la sivyo, nchi hii haitokuwa na la kujivunia kwa kuwa na wasomi!
Si kweli, kwanza mimi Mwamvita nimeanza kumsikia hivi karibuni, I had no idea kuwa kuna mtu anaitwa such a name. Sina kabisa hasira na Mwamvita, hanisaidii na simsaidii. Through your quotes toka kwake, nimesoma aliyoandika pale na kuona kuwa there was nothing vya kusaidia watu ambao anawapa wosia. I know by a fact kuwa ni rafiki mkubwa na Shamim Mwasha pamoja na Kinje.....hawa wote wanahusika na unga kwa namna moja ama nyingine. Shamimu anajuwa fika kuwa mumewe ni zungu la unga na Kinje anajulikana hata na watoto wa mitaani kuwa ni zungu kitambo, hiyo si siri. Sasa kwa nini asiwakemee marafiki zake mtandaoni ama hadharani ili tujuwe kuwa she means business? If not huo ni unafki uliotukuka na kwa hali hii mtu kama huyu hafai kuwakilisha nchi kama unavyosema in your quotes: ".....hivyo basi huko aliko inabidi aiwakilishe nchi in appropriate manner!"
 
Mwamvita ametoa option aliyoitumia na anayoitumia yeye kufanikisha maisha yake hasambazi sembe lakini ana buzi/mabuzi
 
Si kweli........... I know by a fact kuwa ni rafiki mkubwa na Shamim Mwasha pamoja na Kinje.....hawa wote wanahusika na unga kwa namna moja ama nyingine. Shamimu anajuwa fika kuwa mumewe ni zungu la unga na Kinje anajulikana hata na watoto wa mitaani kuwa ni zungu kitambo, hiyo si siri. Sasa kwa nini asiwakemee marafiki zake mtandaoni ama hadharani ili tujuwe kuwa she means business? If not huo ni unafki uliotukuka na kwa hali hii mtu kama huyu hafai kuwakilisha nchi kama unavyosema in your quotes: ".....hivyo basi huko aliko inabidi aiwakilishe nchi in appropriate manner!"

Naomba kujua Kinje ni mume wa shamim....toka lini??
 
Naomba kujua Kinje ni mume wa shamim....toka lini??

Nimeandka vizuri tu ila kwa namna moja ama nyingine mwenzangu umejichanganya. Nani aliyekuambia kuwa Shamimu ni mke wa Kinje? Naomba unionyeshe kwenye maandishi yangu nimeandika wapi.
 
hahahaaa!! yawezekana ni mie! yani nimeshafanaishwa mpaka na Bishanga jamani!

qn.. mbona jamaa huyu ana pos 2 tu jamani! how comes akawa famous vile?

Umaarufu upo wa kila aina,,,, alinitongoza nikawa na mpngo wa kukubali nashangaa kapotea
 
Last edited by a moderator:
Nimeandka vizuri tu ila kwa namna moja ama nyingine mwenzangu umejichanganya. Nani aliyekuambia kuwa Shamimu ni mke wa Kinje? Naomba unionyeshe kwenye maandishi yangu nimeandika wapi.
sawa mkuu
 
Mwamvita makamba, kupitia ukuta wake wa twitter,

amepost haya kuwaasa wadada kuhusu sembe..

Girls:

Kama huna akili- hujasoma na huna kazi,

Kama ni mvivu na sio mbunifu,

Mpenda dezo na huwezi honest living,

mara mia 'buzi' sio sembe!.

------

Mwamvita ametoa ujumbe huu mkali baada ya mwanadada mwenzie #jackie-cliff kukamatwa na sembe huko china

muda si mrefu!

Habari zilizoko kwenye mitandao mingi hivi sasa zinathibitisha kuwa, mrembo huyu pichani, yuko mikononi mwa wachina

wenye hasira kali dhidi ya wachafuzi wa afya za raia wao, baada ya kudakwa na kilo nzima ya unga!!

521604_10200460458374476_1433495386_n.jpg

kazi kwenu wadada (na hata wakaka pia) mnaopenda maisha ya steep slope!!
Huyo aage ndugu tu china hawana muda wanyonga na kwa mkulu wetu wa sasa akipewa taarifa ndio anawapa china hongera kwa kazi nzuri. Vijana unga sio mpango. Utafurahi kwa muda mfupi ila wanakupeleka kaburini. Usishangae huyo dada walikuwa wanamtega alipita airport zote vizuri ili wakale china kichwa chezea watu wasio julikana
 
Mwamvita makamba, kupitia ukuta wake wa twitter,

amepost haya kuwaasa wadada kuhusu sembe..

Girls:

Kama huna akili- hujasoma na huna kazi,

Kama ni mvivu na sio mbunifu,

Mpenda dezo na huwezi honest living,

mara mia 'buzi' sio sembe!.

------

Mwamvita ametoa ujumbe huu mkali baada ya mwanadada mwenzie #jackie-cliff kukamatwa na sembe huko china

muda si mrefu!

Habari zilizoko kwenye mitandao mingi hivi sasa zinathibitisha kuwa, mrembo huyu pichani, yuko mikononi mwa wachina

wenye hasira kali dhidi ya wachafuzi wa afya za raia wao, baada ya kudakwa na kilo nzima ya unga!!

521604_10200460458374476_1433495386_n.jpg

kazi kwenu wadada (na hata wakaka pia) mnaopenda maisha ya steep slope!!
Duuh
 
Kumbe Jacky Cliff hana akili na ndiyo maana akabeba unga kwenye kiroba akifikiri anakwenda kupika ugali hotelini. Tatizo la mademu wa kibongo ndiyo hili, wengi ni vilaza na wanaliwa sana na Wanigeria kwa tamaa za kijinga, wanatumiwa kisha kusambaratishwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom