swtlady
Senior Member
- Oct 22, 2013
- 156
- 103
Kuna vitu kibao visivyo controversial watu hao wanaweza kufanya, kwa nini kashauri mabuzi?
Kama zipi hebu tujuze sababu kafunga kila mahala.wavivu,wasiowabunifu,wapenda dezo na wasioweza kuvumilia honest living.nadhani wengi tumemuelewa vibaya kwasababu mtajwa hapo juu anatakiwa kuwa na sifa zote hzo tajwa without exception of any.watu kama hao kwenye jamii wapo wengi sana na ndio hao wanaotaka shortcut bora hyo njia walioshauriwa kuliko kuendelea kuua kaka zetu na dada zetu kwa madawa while wenyewe wanafaidika