Mwamvita Makamba: Bora buzi kuliko sembe

Mwamvita Makamba: Bora buzi kuliko sembe

Jamani tusiwe wanafki,,
Si sapoti sana khs kuchuna mabuzi lkn ukiangalia reality ya maisha ya ki tz asilimia kubwa ya wasichana wanaishi kwa hii style..
Alichoongea mwamvita ni ukweli mtupu maana umaskini ni janga la taifa na wazazi wengi hawatoi sapoti kwa mabinti hasa wanaposhindwa shule.
 
What?? Why did he do that?
I cannot like this enough times. Motherhood scares me but if I can be able to reflect my upbringing in my son, he will turn out to be a fine gentleman.
 
THANK YOU!!!!!




Parents should be. I am my child's real model; not role model.

I will never teach her to be a gold digger no matter what. I will never even hint to her that that is okay because there is not an ounce dignity or integrity in it.

Conversely, I will teach her the virtues of hard work so she can grow up to be a woman of independent means with a healthy sense of self-worth.[/QUOTE]
 
Last edited by a moderator:
Yeah!!!! but remember that we've rep power too on this forum. So please go ahead and make your fellow PIC happy lol!!!.

I cannot like this enough times. Motherhood scares me but if I can be able to reflect my upbringing in my son, he will turn out to be a fine gentleman.
 
Just like yours truly 🙂🙂

I cannot like this enough times. Motherhood scares me but if I can be able to reflect my upbringing in my son, he will turn out to be a fine gentleman.
 
Nipo neutral ila nakumbuka juzi kati kuna senior p.r executive kampuni moja ya mbele ali-tweet kuwa 'nasafiri kwenda Africa, niombee nisije pata ukimwi, lakini subiri...mimi mzungu siwezi kupata ukimwi', hiyo tweet ilimpa matatizo sana kazini na kijamii pia. Yetu macho na comment husika...
 
La kichaga linaua

Hapa hakuna cha wadada wala wakaka.

Kawaambia wadada kuwa na buzi poa, mabuzi yenyewe ni kina nani sasa kama si wanaume?

Wanaume wakikataa kufanywa mabuzi utasemaje hizi ni habari za wadada tu?

Wateja wa anakofanyia kazi (Vodacom) supposedly "Business Performance Partner: Corporate Affairs for Vodacom International Business" wakikerwa na kauli hii na kutegemea standards za juu zaidi za professionalism utasemaje kwamba hili ni suala la wadada tu?

Afrika tunaangamia kwa UKIMWI, huyu anahalalisha mabuzi, wanaopiga vita UKIMWI tukikasirishwa na kauli hii, utasemaje inawahusu wadada tu?
mi nadhani haya mawazo ni ya kwake binafsi wala c ya vodacom, nnchojaibu kuona ni kwamba, mrs makamba ameumizwa sana na hii ishu ya madawa ndo maana aka suggest njia nyingine ya kuwa na buzz ambayo pia nayo ni mbaya, ila alitaka umma uelewe kwamba kukamatwa na sembe china ni sawa na adhabu ya kifo. but ukiwa na mabuzi then ukapata HIV at least u will last longer
 
Huyu dada kaiba vodacom kwa kulala na mabosi na watu wengine wa serikalini wenye pesa, huu ni mfano wa kijinga ndio maana wamjuao husema kweli yeye amebebwa ila akili za kazi hana anategemea wa chini yake kupata credits za kazi.

Huko SA lazima anakoma, au atakuwa kashaanza kugawa kwa mabosi pia wasimfukuze kazi.

Ndoa ilimshinda alim cheat mzungu wake na kumtapeli, so sio role model wa wadogo hata kwa robo.

Atagawa k hadi akome na kuringa kwake, sijapenda alivyo sema mabuzi.mwizi kabisa anabahati nduguze na majina yao hakufukuzwa bali akatupiliwa huko sa.
 
mi nadhani haya mawazo ni ya kwake binafsi wala c ya vodacom,

mkuu sikiliza nikwambie,tumepewa elimu ili itukomboe! elimu hii hii tunayopewa, lengo lake kuu ni kuuondoa uswahili swahili uliotujaa vichwani mwetu. Elimu hii hii lengo lake pia likiwepo ni kutoa msaada katika jamii!

mwamvita mi ninavyoona kwenye tweet yake, hajatoa ushauri wowote wa kujenga!

sana sana amezima nyumba inayoungua kwa mafuta ya taa, kitu ambacho hakiwezi zima moto!

hebu fikiria msomi mzima badala ya kutoa ushauri ni jinsi gani vijana waondokane na janga la dawa za kulevya,

yeye anawaza mambo ya mabuzi tuu kuchwa! hivi hata angesema waende vijijini wakalime, nani angelimzodoa?

mi nadhani ni bora angetimuliwa kazi tu ili iwe funzo kama yule mwenziwe aliye wakashifu waafrika!

kwa kifupi, ameidhalilisha vodacom, kama ndiko kweli anakofanyia kazi! wameajiri mtu asiyejielewa!
 
ashukuru kuzaliwa kwenye Royal Family.....


hv wewee Royal Family unaijuwa kweli?
Hivi Mwamvita wakati anazaliwa kwao ilikuwa mboga 7?
Au mboga 7 kaja ifumania ukubwani?
Aliezaliwa katika Royal Family ni mtu kama Uhuru Kenyatta, waliokulia kwenye Royal Family ni kama Udey na Qusay, Saif al Islam na ndugu zake na Jose Kongolo a.k.a Sadam Hussein
 
Mumache Mwammy wa watu! ETI ANABEBWA??????? Ile tenda ya kuwacomvise GVT watumie voda mnaiona ndogo career wise!!!!!!!!?

Hayo ni mawazo binafsi na HALALI kabisaa kwetu sie GET RICH OR DIE TRYING!!!!!!!! Nyie waoga na wema mtulie kama MNANYOLEWA!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom