stata mzuka
JF-Expert Member
- Nov 25, 2012
- 4,834
- 1,765
Sembe kilo1 na Nusu wanabeba tumboni ila chips kavu hamalizi sahani.
Huyu dada kaiba vodacom kwa kulala na mabosi na watu wengine wa serikalini wenye pesa, huu ni mfano wa kijinga ndio maana wamjuao husema kweli yeye amebebwa ila akili za kazi hana anategemea wa chini yake kupata credits za kazi.
Huko SA lazima anakoma, au atakuwa kashaanza kugawa kwa mabosi pia wasimfukuze kazi.
Ndoa ilimshinda alim cheat mzungu wake na kumtapeli, so sio role model wa wadogo hata kwa robo.
Atagawa k hadi akome na kuringa kwake, sijapenda alivyo sema mabuzi.mwizi kabisa anabahati nduguze na majina yao hakufukuzwa bali akatupiliwa huko sa.
Kimalaya tu hicho na ndo maana kinatoa ushauri wa kuendekeza umalaya. Na hapo ndo kimefikika ukomo wa uwezo wake wa kufikiri.
Let's face it, kuwa na buzi na kuwa streetwalker, kimsingi kuna tofauti gani?
Kuwa buzi at least mtu aweza olewa but sembe ni balaa, wether ni harlot or chauvinist she deserves to express herself! Wangapi wametoa statement tata na hawajafuatiliwa? Sometimes u shouldnt be biased just becaused the statement came from a woman
Hivi ni nani kasema hana haki ya kutoa maoni yake? Nani kasema yeye hastahili kutoa maoni yake? She is entitled to her opinions (on whatever it may be) just as we are entitled to ours.
And I am not biased just because the comment came from a woman. No, that's not it even for one millisecond. I just call it as I see it and if you happen to not like it you have two choices; either sound off or keep it moving.
But no one is saying that she shouldn't say what she said (at least not I) or that she shouldn't think like she did. She has the choice to keep her opinions and thoughts to herself.
But the moment she goes public with it then it's fair game for all and sundry to opine anything on it.
Now who would object to this?
hv wewee Royal Family unaijuwa kweli?
Hivi Mwamvita wakati anazaliwa kwao ilikuwa mboga 7?
Au mboga 7 kaja ifumania ukubwani?
Aliezaliwa katika Royal Family ni mtu kama Uhuru Kenyatta, waliokulia kwenye Royal Family ni kama Udey na Qusay, Saif al Islam na ndugu zake na Jose Kongolo a.k.a Sadam Hussein
mi nadhani haya mawazo ni ya kwake binafsi wala c ya vodacom,
nnchojaibu kuona ni kwamba, mrs makamba ameumizwa sana na hii ishu ya madawa ndo maana aka suggest njia nyingine ya kuwa na buzz
ambayo pia nayo ni mbaya, ila alitaka umma uelewe kwamba kukamatwa na sembe china ni sawa na adhabu ya kifo. but ukiwa na mabuzi then ukapata HIV at least u will last longer
Kama zipi hebu tujuze sababu kafunga kila mahala.wavivu,wasiowabunifu,wapenda dezo na wasioweza kuvumilia honest living.nadhani wengi tumemuelewa vibaya kwasababu mtajwa hapo juu anatakiwa kuwa na sifa zote hzo tajwa without exception of any.watu kama hao kwenye jamii wapo wengi sana na ndio hao wanaotaka shortcut bora hyo njia walioshauriwa kuliko kuendelea kuua kaka zetu na dada zetu kwa madawa while wenyewe wanafaidika
Just like yours truly 🙂🙂
karibu.....Binamu mwaka mpya nakuja Kisarawe........jiandae
Ameongea kutokana na Uzoefu
Hapo angeweka na qualification kabisa na kusema 'mara mia buzi, lakini siyo la Kichaga':happy:
Natania tu lakini.
Utasikia miaka ijayo nae ni mbunge au raisi wa hii nchi
Mumache Mwammy wa watu! ETI ANABEBWA??????? Ile tenda ya kuwacomvise GVT watumie voda mnaiona ndogo career wise!!!!!!!!?
Hayo ni mawazo binafsi na HALALI kabisaa kwetu sie GET RICH OR DIE TRYING!!!!!!!! Nyie waoga na wema mtulie kama MNANYOLEWA!