excel
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 22,434
- 17,862
- Thread starter
- #221
Aliepewa kapewa, Muacheni madam wa watu..
Audi, Mara Harrier nyumba abv 400mil na shopping za kutisha hiyo sembe anasafirisha Mapipa kwa mapipa au?!!.
Hivi unafahamu inabidi usafirishe sembe kiasi gani ili u-make hizo 400M?. Just do the simple math..
Sio vyote anavyoonyesha Wema kwamba 100% anavimiliki thats Y kampuni yake inaitwa endless Fame.
wow!! naona anakingiwa kifua!
long live wema, i need to see a lot from you!