Mwembebasha
JF-Expert Member
- Dec 27, 2013
- 1,424
- 406
Ukizingua, shaba inakuhusuHapo angeweka na qualification kabisa na kusema 'mara mia buzi, lakini siyo la Kichaga':happy:
Natania tu lakini.
Ukizingua, shaba inakuhusuHapo angeweka na qualification kabisa na kusema 'mara mia buzi, lakini siyo la Kichaga':happy:
Natania tu lakini.
Huu ni ushauri wa Mwamvita Makamba, kwa wadada ambao hawajaenda shule, wasio na uvumilivu, wasio na akili ya maisha na wasio wabunifu.
![]()
baeleze baelewe !!! sayitaa
Na kwa mabrazemeni je??!
ila safi sana! dawa yao Kitanzi tu na sijui kwa nn wachina wanawachelewesha, hawa jamaa wanatutesa sana mtaani, unakuta mzee mzima unahangaiiiiika hata kuweka bati nyumba yako au kununua ka swift! halafu anakuja nunua kiwanja karibu yako after 2month anahamia, baada ya hapo kila wiki anabadilisha gari!! Hebu govment ifanye mpango wa kuwapunguza bana.
Bila kusahau wanatuharibia sana watoto wetu!
Dada wa rais mtarajiwa
mmh.. mi kwangu suru zinapoteza sana mvuto! i prefer chicks with light mini skirts ama awe amevalia zile zenu dress ndefu zinaoonesha bambataa inavyoenda, pa! pa! pa!.... teh! teh! vibinti vyenye mawowowo huwa vinanimaliza sana, basi tu!
suru zina disturbance nyingi mno, aarrgh! yani unapisha na mwajuma kama umepishana na juma! mmh.. hell no!
Mkuu badiebey wacha wivu, Wema Sipitwi namuhonga mimi kwa maraha anayonipa bila kujalisha GPL na wana jamii mnasema nini, mbona hela ya kawaida tu hiyo?
Aisee!Kweli kabisa bora buzi mwenzangu,,, coz hela ya buz haina riba wala marejesho ni ujanja wako tu na cash flow ni kubwa depending na quality of service u provide!!!
Watoto wa mafisadi ndio wauza sembe subiri zamu yako mwammy.
Sjui alimaanisha wote wasiosoma ndio wasio na akili au?
Kweli kabisa bora buzi mwenzangu,,, coz hela ya buz haina riba wala marejesho ni ujanja wako tu na cash flow ni kubwa depending na quality of service u provide!!!
Roho mbaya tu!! Nyoooooo...Wazee kama Nyie ndio mlio Over stay hapa Duniani. Kama Life Expectance ya miaka 47 ingezingatiwa hivi sasa kwenye Kaburi lako watu wangekuwa wanachuma Kisamvu na Taifa lingefanikiwa kupunguza Roho ya korosho moja. Shida zako haziwezi kuisha kwa kuombea Mabaya wenzako. Kwani tukifungwa wewe ndo Utaweza kuezeka Kibanda chako?? tukinyongwa wewe ndo utaweza kununua Swift. Adui yako ni Roho yako Mbaya!
Ain't nobody saying she shouldn't tweet.
But if you are going to tweet out some advice to young ladies out there, then tweet sensible advice.
Anajishaua tu. Anataka kusema lile kasri lake kajengea hela ya mshahara. Au na yeye anataka kugombea urais.