Mwamvita Makamba: Bora buzi kuliko sembe

Mwamvita Makamba: Bora buzi kuliko sembe

yeye si ana buzi babu la kizungu linafanya kazi kule barrick limemnunulia nyumba ya gorofa la nguvu maeneo ya msasani!!! ameshauri kitu ambacho yeye kimemlipa!!!
 
Natamani sana niwajue wanaowabebesha huu ujauzito wa sembe!
Aisee siku wema ama diamond wakikamatwa itakuwa noma sana!

Kukamatwa Wema wala Diamond kwa sasa ni ngumu, maana yule donni wao Mhasibu pale Ikulu amebanwa sana, amepigwa onyo na wakulu.

Na ndo maana kwa sasa kuna habari mjjini kuwa wema ameanza kufulia, lkn kufulia huko ni kwa sbb ya stop aliyopigwa huyo donnie kwenye masuala ya sembe.

Habari hii ni kwa mjjibu wa jamaa aliyetaka kubebeswa sembe lkn akawa mjanja akachomoa!
 
mmmhhh... kazi tunayo tz!

yani hapa ni sawa na kusema matawi yaungane ili kung'oa mzizi!

watz tunapinga vita ya sembe, wakati walanguzi ndio wameikalia nchi!

btw, itabidi nirudiane na wema s! teh! kwa sasa anaweza kunikubali!! teh!
 
yeye si ana buzi babu la kizungu linafanya kazi kule barrick limemnunulia nyumba ya gorofa la nguvu maeneo ya msasani!!! ameshauri kitu ambacho yeye kimemlipa!!!

really? aisee dunia ina mambo!!

kuna mdau moja amesema kwamba #mwamvita ameshauri kitu ambacho anakifanya!

so its true?
 
hee mbona kama wanalalia mbao za milango?hizi shida nazo hazina adabu!

mi naona hizi ndio jela bora!! baada ya hapo, nidhamu itakuwepo mjini hapa!!

sio eti jela nzuri ka hotel ya kempinski bana!

alaaah!
 
Huu ni ushauri wa Mwamvita Makamba, kwa wadada ambao hawajaenda shule, wasio na uvumilivu, wasio na akili ya maisha na wasio wabunifu.

27f7a4f26ee111e391df12e95421f4fe_8.jpg
 
mwamvita makamba, kupitia ukuta wake wa twitter,amepost haya kuwaasa wadada kuhusu sembe..Girls: kama huna akili- hujasoma na huna kazi,kama ni mvivu na sio mbunifu,mpenda dezo na huwezi honest living,mara mia 'buzi' sio sembe!.------mwamvita ametoa ujumbe huu mkali baada ya mwanadada mwenzie #jackie-cliff kukamatwa na sembe huko china muda si mrefu!habari zilizoko kwenye mitandao mingi hivi sasa zinathibitisha kuwa, mrembo huyu pichani, yuko mikononi mwa wachina wenye hasira kali dhidi ya wachafuzi wa afya za raia wao, baada ya kudakwa na kilo nzima ya unga!!
521604_10200460458374476_1433495386_n.jpg
kazi kwenu wadada (na hata wakaka pia) mnaopenda maisha ya steep slope!!
Aiseee kumbe ndo huyu...
 
Naunga mkono hoja bora mtuchune mabuzi kuliko kubeba sembe nakuishia kufa. Kunyongwa au jela.

Mtuchune mabuzi wala hakuna sheria ya kukataza uchunaji mabuzi
 
Kweli kabisa bora buzi mwenzangu,,, coz hela ya buz haina riba wala marejesho ni ujanja wako tu na cash flow ni kubwa depending na quality of service u provide!!!
 
Na kwa mabrazemeni je??!

ila safi sana! dawa yao Kitanzi tu na sijui kwa nn wachina wanawachelewesha, hawa jamaa wanatutesa sana mtaani, unakuta mzee mzima unahangaiiiiika hata kuweka bati nyumba yako au kununua ka swift! halafu anakuja nunua kiwanja karibu yako after 2month anahamia, baada ya hapo kila wiki anabadilisha gari!! Hebu govment ifanye mpango wa kuwapunguza bana.

Bila kusahau wanatuharibia sana watoto wetu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom