Tony Gwanco
JF-Expert Member
- Jan 22, 2013
- 5,913
- 1,217
Naunga mkono hoja bora mtuchune mabuzi kuliko kubeba sembe nakuishia kufa. Kunyongwa au jela.
Mtuchune mabuzi wala hakuna sheria ya kukataza uchunaji mabuzi
huwa nakuheshimu sana ila hapa umepwaya sana