badiebey
JF-Expert Member
- Nov 29, 2013
- 5,875
- 3,117
hahahaaa!! ntakuja bana nikitokea bigi braza!! nasikia mna motel moja hatari sana huko (Lambo motel, sijui ndo hiyo?)
Ewaaa hyo hyo,....
hahahaaa!! ntakuja bana nikitokea bigi braza!! nasikia mna motel moja hatari sana huko (Lambo motel, sijui ndo hiyo?)
I wonder if that's what she teaches her daughter......that if she can't earn an honest living then she is better off being a gold digger than a drug mule.
Downright pathetic!
Kweli kabisa bora buzi mwenzangu,,, coz hela ya buz haina riba wala marejesho ni ujanja wako tu na cash flow ni kubwa depending na quality of service u provide!!!
si bora angesema bora ujasiriamali, huyu atafikiri anaish Dunia isiyo na ukimwi.
Huu ni ushauri wa Mwamvita Makamba, kwa wadada ambao hawajaenda shule, wasio na uvumilivu, wasio na akili ya maisha na wasio wabunifu.
![]()
Inaonekana we ni fundi. Nahitaji iyo service. bei maelewano.
Ndio maana amesema kama huna akili. Mvivu
Kama hauna ubunifu etc ujasiriamali unaousema unaweza fanywa na mvivu? Somen alichoandika kabla amjakurupuka
Kweli kabisa bora buzi mwenzangu,,, coz hela ya buz haina riba wala marejesho ni ujanja wako tu na cash flow ni kubwa depending na quality of service u provide!!!
Kuna vitu kibao visivyo controversial watu hao wanaweza kufanya, kwa nini kashauri mabuzi?
hivi ni akina nani jamani wenye hawa 'punda' hapa mjini?
dar raha, kidogo tu, we milionea!!