Mwamposa aambiwe ukweli kuwa maandamano si dhambi mbele za Mungu

Nitaenda Misaa yaTatu

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2025
Posts
403
Reaction score
810
Mwamposa amesema maandamano yanaondoa utukufu wa Mungu!

Nina uhakika Mwamposa hata Bibilia hasomi kama tunavyojua wote wenye akili timamu kwa pamoja wetu kuwa huyu Mwamposa ni Tapeli.

Kwenye agano la kale tunasoma wana Waisraeli (Musa&Haruni)walimfuata mara kadhaa farao awape ruhusa waende wakamwambudu Mungu wao lakini farao alikataa katakata.

Mwisho wa siku Mungu alifanya tukio la mauji makubwa kwenye Kila familia ya mmisri alikufa mzaliwa wa kwanza wa kiume hadi kwa Farao mwenyewe.

Ndiposa farao akawaruhusu wana wa Israel waende wakamwabudu Mungu wao.

Maandamano yale ya kutoka utumwani yalikuwa makubwa mno na kweli wakafanikiwa kutoka misri.

Wakiwa Jangwani wana wa Israel walikusanyika tena. SOMA
Kutoka 16:2–3, Hesabu 14:1–4
=> Waisraeli wote walinung’unika mbele ya Musa na Haruni wakisema, “Laiti tungalikufa Misri!”
Hapa walikusanyika na kulalamika kuhusu chakula na safari yao jangwani .....kama maandamano dhidi ya uongozi wa Musa

Ukisoma Hesabu 16:1–3 utaona kuna maasi ya watu mamia walikusanyika na kupinga uongozi uliokuwepo.
Korahi... na watu 250 wa Israeli, wakuu wa kusanyiko, waliinuka dhidi ya Musa.
Huu ulikuwa ni uasi wa wazi, wenye sura ya kisiasa kidogo kundi la watu wakipinga uongozi uliopo.

Kwenye Agano jipya Tunasoma kuwa yesu kipindi anaingia yerusalemu yalifanyika maandamano makubwa mnoo watu walikata matawi ya miti wengine walitandika nguo zao wakiimba Hosana hosanna mbarikiwa....(kisa hiki ni maarufu sana kwa wakristo sisi Rc huwa tunaazimisha hayo maandamano jpili ya mwisho kabla ya pasaka ni kila mwaka!)

Maandamano ya kisiasa yalifanyika pia kipindi cha mashitaka ya yesu unaweza kusoma

Mathayo 27:20–23, Yohana 19:15

Umati wa watu ukapaza sauti: “Msulubishe! Msulubishe!”
Hii ni aina ya maandamano ya umati, wakishinikiza mamlaka (Pilato) kufanya uamuzi fulani wa kisiasa na kijamii.

Kipindi cha Paulo mtume(waukweli)

Matendo 19:23–41 — Mji wa Efeso ulijaa vurugu dhidi ya Paulo, kwa sababu ya mafundisho yake umati ulifanya aina ya maandamano ya kidini na kiuchumi.

Haya ni baadhi tu makusanyiko ya watu (maandamano) ambayo yapo wazi kabisa kibiblia yameandikwa.

Nihitimishe kwa kusema "Mwamposa wewe piga hela zako Tulia usimsemee Mungu kitu cha uongo"
FB_IMG_1762857410747.jpg
 
Kwamba Mwamposa ni Mtumishi wa Mungu, seriously?
 
Maandamano yasiyo na uhalifu hayaondoi utukufu wa Mungu. Kilichotokea Oct 29 ni uhalifu kwenye kichaka cha maandamano. Waisrael pia walishaandamana kutaka Musa awachongee sanamu ĺa kuabudu ndo Mungu akasema wachongewe sanamu la shaba na iwe lazima kuliabudu. Tapeli Mwamposa aache kupotosha.
 
Mwamposa amesema maandamano yanaondoa utukufu wa Mungu!

Nina uhakika Mwamposa hata Bibilia hasomi kama tunavyojua wote wenye akili timamu kwa pamoja wetu kuwa huyu Mwamposa ni Tapeli.

Kwenye agano la kale tunasoma wana Waisraeli (Musa&Haruni)walimfuata mara kadhaa farao awape ruhusa waende wakamwambudu Mungu wao lakini farao alikataa katakata.

Mwisho wa siku Mungu alifanya tukio la mauji makubwa kwenye Kila familia ya mmisri alikufa mzaliwa wa kwanza wa kiume hadi kwa Farao mwenyewe.

Ndiposa farao akawaruhusu wana wa Israel waende wakamwabudu Mungu wao.

Maandamano yale ya kutoka utumwani yalikuwa makubwa mno na kweli wakafanikiwa kutoka misri.

Wakiwa Jangwani wana wa Israel walikusanyika tena. SOMA
Kutoka 16:2–3, Hesabu 14:1–4
=> Waisraeli wote walinung’unika mbele ya Musa na Haruni wakisema, “Laiti tungalikufa Misri!”
Hapa walikusanyika na kulalamika kuhusu chakula na safari yao jangwani .....kama maandamano dhidi ya uongozi wa Musa

Ukisoma Hesabu 16:1–3 utaona kuna maasi ya watu mamia walikusanyika na kupinga uongozi uliokuwepo.
Korahi... na watu 250 wa Israeli, wakuu wa kusanyiko, waliinuka dhidi ya Musa.
Huu ulikuwa ni uasi wa wazi, wenye sura ya kisiasa kidogo kundi la watu wakipinga uongozi uliopo.

Kwenye Agano jipya Tunasoma kuwa yesu kipindi anaingia yerusalemu yalifanyika maandamano makubwa mnoo watu walikata matawi ya miti wengine walitandika nguo zao wakiimba Hosana hosanna mbarikiwa....(kisa hiki ni maarufu sana kwa wakristo sisi Rc huwa tunaazimisha hayo maandamano jpili ya mwisho kabla ya pasaka ni kila mwaka!)

Maandamano ya kisiasa yalifanyika pia kipindi cha mashitaka ya yesu unaweza kusoma

Mathayo 27:20–23, Yohana 19:15

Umati wa watu ukapaza sauti: “Msulubishe! Msulubishe!”
Hii ni aina ya maandamano ya umati, wakishinikiza mamlaka (Pilato) kufanya uamuzi fulani wa kisiasa na kijamii.

Kipindi cha Paulo mtume(waukweli)

Matendo 19:23–41 — Mji wa Efeso ulijaa vurugu dhidi ya Paulo, kwa sababu ya mafundisho yake umati ulifanya aina ya maandamano ya kidini na kiuchumi.

Haya ni baadhi tu makusanyiko ya watu (maandamano) ambayo yapo wazi kabisa kibiblia yameandikwa.

Nihitimishe kwa kusema "Mwamposa wewe piga hela zako Tulia usimsemee Mungu kitu cha uongo"View attachment 3500235
Who is mwamposa after al? Takataka mavi uharo
 
Huyo ccm na waumini wake ccm aambiwe nini juu ya maandamano.

Ukiwa high table huwa unakula kwa adabu na kumsifia aliyekualika huko high table, mwacheni ale kwa kutulia siku yake itafika kanisa litapigwa kiberiti.

Na hatoongea tena.
 
Huyu tapeli siku wakipiga moto hilo Banda la misukule yake hapo Tanganyika Packers na hoteli yake kule Mbeya ndiyo akili zitamkaa sawa! 🚮
 
Ninashukuru baada ya maneno ya Mwamposa kuhusu maandamano ndugu yangu mmoja haishi Dar ila alikuwa anashinda kwa akifuatilia alikuwa kama mtumwa wa Mwamposa kavunja chupa za mafuta na kumwaga maji huku akimtukana Mwamposa
 
Mwamposa amesema maandamano yanaondoa utukufu wa Mungu!

Nina uhakika Mwamposa hata Bibilia hasomi kama tunavyojua wote wenye akili timamu kwa pamoja wetu kuwa huyu Mwamposa ni Tapeli.

Kwenye agano la kale tunasoma wana Waisraeli (Musa&Haruni)walimfuata mara kadhaa farao awape ruhusa waende wakamwambudu Mungu wao lakini farao alikataa katakata.

Mwisho wa siku Mungu alifanya tukio la mauji makubwa kwenye Kila familia ya mmisri alikufa mzaliwa wa kwanza wa kiume hadi kwa Farao mwenyewe.

Ndiposa farao akawaruhusu wana wa Israel waende wakamwabudu Mungu wao.

Maandamano yale ya kutoka utumwani yalikuwa makubwa mno na kweli wakafanikiwa kutoka misri.

Wakiwa Jangwani wana wa Israel walikusanyika tena. SOMA
Kutoka 16:2–3, Hesabu 14:1–4
=> Waisraeli wote walinung’unika mbele ya Musa na Haruni wakisema, “Laiti tungalikufa Misri!”
Hapa walikusanyika na kulalamika kuhusu chakula na safari yao jangwani .....kama maandamano dhidi ya uongozi wa Musa

Ukisoma Hesabu 16:1–3 utaona kuna maasi ya watu mamia walikusanyika na kupinga uongozi uliokuwepo.
Korahi... na watu 250 wa Israeli, wakuu wa kusanyiko, waliinuka dhidi ya Musa.
Huu ulikuwa ni uasi wa wazi, wenye sura ya kisiasa kidogo kundi la watu wakipinga uongozi uliopo.

Kwenye Agano jipya Tunasoma kuwa yesu kipindi anaingia yerusalemu yalifanyika maandamano makubwa mnoo watu walikata matawi ya miti wengine walitandika nguo zao wakiimba Hosana hosanna mbarikiwa....(kisa hiki ni maarufu sana kwa wakristo sisi Rc huwa tunaazimisha hayo maandamano jpili ya mwisho kabla ya pasaka ni kila mwaka!)

Maandamano ya kisiasa yalifanyika pia kipindi cha mashitaka ya yesu unaweza kusoma

Mathayo 27:20–23, Yohana 19:15

Umati wa watu ukapaza sauti: “Msulubishe! Msulubishe!”
Hii ni aina ya maandamano ya umati, wakishinikiza mamlaka (Pilato) kufanya uamuzi fulani wa kisiasa na kijamii.

Kipindi cha Paulo mtume(waukweli)

Matendo 19:23–41 — Mji wa Efeso ulijaa vurugu dhidi ya Paulo, kwa sababu ya mafundisho yake umati ulifanya aina ya maandamano ya kidini na kiuchumi.

Haya ni baadhi tu makusanyiko ya watu (maandamano) ambayo yapo wazi kabisa kibiblia yameandikwa.

Nihitimishe kwa kusema "Mwamposa wewe piga hela zako Tulia usimsemee Mungu kitu cha uongo"View attachment 3500235
Mtumishi uchwara ,,,
 
Back
Top Bottom