Njaa Mbaya
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 666
- 178
Serikali sasa itupe macho kwa vigogo wa TRA na bodi yote imeoza kuanzia kamishina mkuu hadi makamishina wa chini yake ni uozo mtupu na kama serikali itaendelea kulala nchi inaliwa mbaya,
........
........
Bandali ilikuwa imejaa ma mbumbu bora alivyo yapiga chini. sio vibaya kuanza upya maana hata 2015 tunatalijia kuanza upya na Serekali mpya, rais mpya, naibu waziri wa elimu mpya anaye jua anacho kisema na sio kupayuka kama huyu wa magamba.
Tutateua maziri kwa kuangalia qualifications zao na sio ushikaji kama hawa wa Magamba wanaochaguliwa huku wengi wakiwa na vichwa vya kufugia nywele badala ya kuvitumia katika kufikiria.
Tuta hakikisha tuna pangua safu yote ya vigogo wa TRA ambao badala ya kuwatumikia wananchi wa Tanzania, wametengeneza mtandao wao na wafanya biashara wachache wanao kwepa kodi kwa kuchukua rushwa za mamilion ya fedha huku wakiliacha taifa likiteketea.