Acha watu tufanye kazi, kama lengo lako ni mapato fuata kanuni na taratibu dhibiti mapato, sasa hata kuingiza meli tuombe ruhusa wizarani? Bandari iko wazi meli zimejaa nje, mpaka mbumbumbu fulani wizarani atoe amri ndo tufanye kazi. Watu wanamshangilia huyu mtaka msifa, subirini mtakuja kuona.
makontena yanapotea kama kiberiti,maajabu mengine ya tanzaniaNyie ndo wezi wakubwa wa makontainer yetu
Kila jambo lina mwisho,na pia unaweza danganya watu fulani kwa wakati flani lakini si watu wote na wakati wote.tumeshaongozwa na mawaziri wasanii sana kwa muda mrefu na wizara hii ni moja kati ya wizara zilizokuwa zinalalamikiwa sana kwa muda mrefu kwa utendaji kazi mbovu leo hii tumepata mtu ambaye ni mtoa kero zilizokuwa zikiwakera wananchi kwa muda mrefu mimi naona huyu waziri ni jembe kwa kweli ni chapa kazi na ni wizara chache zina mawaziri wanaojitahidi na wenye uzalendo kama mwakyembe nathubutu kusema huyu ni mfano unaopaswa kuigwa na wengine pia hongera dr.mwakyembe kwa uzalendo tuntamani kuona nchi jirani zilizotuzunguka zikitumiaa bandari yetu ili nchi ipate tijaNia ya Dr. Mwakyembe ni nzuri japo kunaweza kukawa na intention nyingine nyuma yake maana hii ni tz.
Cha msingi hapa ni kuwa hakuna mtu anayeweza kubadilisha hali ya mambo kutokea kwenye mlolongo wa commands za ccm kwa maana msingi wa utawala na taratibu za chama hiki ni fitna na unafiki. Na kwa kiasi cha fitina zilizoko huko (refer mzee Akilimali anavyosema kuwa ni bora Yanga ife/ifutwe kuliko kuongozwa na 'fulani'), watu wako tayari kufa kuliko ku adopt mfumo wa kisasa na wa maendeleo.
Iache tu Tanzania iendelee na mambo yake ya 'backwardness' na uchawi mpaka Mungu akiamua vinginevyo!
Aisee safi sana Mwakyembe, km hujawahi ingiza mzigo wowote bandarini, utaona km jamaa anacheza lkn bandari imeoza rushwa, mwakyembe safisha hapo, timua wote wala rushwa.
Sorry, out of topic;Acha watu tufanye kazi, kama lengo lako ni mapato fuata kanuni na taratibu dhibiti mapato, sasa hata kuingiza meli tuombe ruhusa wizarani? Bandari iko wazi meli zimejaa nje, mpaka mbumbumbu fulani wizarani atoe amri ndo tufanye kazi. Watu wanamshangilia huyu mtaka msifa, subirini mtakuja kuona.
Kwani ukiomba kibali wizarani kuna tatizo gani?Kwani ofisini kwako hakuna maboss ambao hutoa amri?Kama unawatusi wafanyakazi wa wizara ni mbumbumbu je hapo ofisini kwako bandarini kupoje?
Ni hayo tu.
R u serious, hivi unaelewa kitu kinachoitwa time is money au ndio mambo tu ya kudandia treni kwa mbele.
1..Wenzako wana trip zao za kwenda na kurudi kubeba mizigo wewe unawapotezea muda kwa ushamba wako halafu unaona ana justification ya kufanya hivyo, kuna watu wanalipwa melini every extra day ni overtime, kuna hela zingine na mizigo mingine meli inasubiri wewe unawapotezea muda, kuna watu wameshaambiwa meli inatumia muda gani kufika na mizigo waitegemee lini kibiashara, kuna mlolongo wa mapato ambao umesambaa wewe unazuia kwa upuuzi wako.
On the other hand kuna port zingine ambazo zinaweza iba biashara for the sake of customers satisfaction kama kuna watanzania wanaona heri ya kushushia mombasa, what about countries ambazo zinakuwa na mizigo ambayo inafaida kubwa yamapato kwetu kuamia kwengine.
Jamaa amesha sema kama ni kudhibiti mapato kuna namna zake, lakini kama ni kufanya biashara effectively this is absurd.
I always thought the guy was not right for this post, maana kaanza kulewa hata na masifa ya treni ya Mwakyembe as if the plan was initiated in the last six months, nevertheless he is happy to receive all the accolades without acknowledging those responsible for that train.
Kama kikwete anampenda sana ampe wizara ya sheria huko ndio anapofa lakini si kwenye miradi he is just not cut for those roles. It tells akili ya raisi wetu ikoje kutokana na haya matatizo na teuzi zake za ajabu ajabu no wonder aelewi sababu za umaskini wa taifa.
Mbona umeelezea vizuri tu, short, clear and precisely to the point asietaka kuelewa ni kwamba hataki tu.Mkuu Zinja nashukuru sana kwa kunisoma, wewe ni muelewa sana! nimezodolewa sana leo humu ndani lakin mkuu umeiona point yangu. Thanx.
Ukweli ni kuwa rekodi hiyo imewekwa na TICTS ambayo Mwakyembe hausiki na mafanikio hayo. TPA wakifikisha rekodi hiyo mbingu inaweza kushuka. Kitu kingine watu wasichokijua ni kuwa utendaji wa TICTS mara nyingi hukwamishwa na ukiritimba wa TPA.Kwa mara ya kwanza Bandari wameweka rekodi mwezi wa kumi kw akuapakua macontainer 36,000 kwa mwezi haijawahi kutokea katika historia ya bandari ya DSM toka ianzishwe na hii ni kutokana na hatua alizochukua Dr. Mwakyembe. Hii ilikuwa katika magazeti ya leo.