zenmoster
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 951
- 202
Wewe ni lazima utakuwa mentally impaired. Hivi uozo wote uliokuwa umekithiri bandarini uliokuwa huuoni au ulikuwa unakufainisha?. Sasa mirija ya kifisadi imefungwa na Mwakyembe. Endelea kulalamika wakati Mwakyembe anasonga mbele.
Jamaaa anasikitika ndo maana anamponda dr...anajua hana chake tena