mwanzoni nilidhani Mwakyembe ni mtu makini alipoanza kukurupuka kwa kila jambo nikadhani labda ni ulmbikeni wa uwaziri baada ya kutoka kwenye ugonjwa mkubwa. Lakini sasa nataka kuamini kwamba anapenda cheap popularity. Kwa nini hafanyi uchunguzi wa mambo kabla hajatenda jambo.
Ajiandae kuumbuka muda si mrefu kwa kuwa maamuzi yake mengi ni ya sifa sifa tu hayazingatii uhalisia. Akipuuza haya yetu macho mbona karibu goma litapasuka!
Utasikia sasa hivi ohh wananihujumu ohh wananishauri vibaya ohh walinidanganya.
Amemsikia mwenzake muhogo huko anavyoweweseka, kama yuko juu ya jiko la mkaa anawiva.
Inaaikitisha kwa ma Dr. Na maprof. Wetu, siasa siyo fani yao, hao.