Mwakyembe: Sikumsema Roma, Watanzania wanadandia mada

Wangemuuliza.
Unfortunately waandishi wetu wengi ni wale wenye elimu za "hapa na pale" na bila shaka hawakuwa na confidence ya kumuuliza huyo mwenye degree nne nne.

Waandishi wetu sio wadadisi. Unaweza kuwaambia kitu cha uongo (say, JPM amelazwa Muhimbili) na wao harakaharaka watakimbia na kuandika "JPM amelazwa Muhimbili". Yaani uwezo wa kuprobe na kucross check haupo.
 
Hii fungua thread yake inayojitegemea.
 
Siku tukiacha kujadili mambo mepesi mepesi ndipo tutakuwa tumeanza kuyafikia maendeleo tunayoyataka.
 
Anadhani wengi wamesoma bila ya kubakia na akili kama yeye.
 
Mmmh! Kwa nunuu hii Mwakyembe hapa hachomoi, alikuwa anamsema Roma. Labda aseme ameogopa hewa ilivyochafuka inaweza kupelekea mawimbi makali dhidi yake
 
Hana lolote huyo
 
Kama Mheshimiwa alikana nukuu iliyochukuliwa ktk "thesis' yake, atashindwa vipi kukanusha juu ya kauli yake? Ameona "reactions" juu ya watu ndipo anaanza kuleta miyeyusho.
 



!
!
Halafu Wanakuja Wapumbavu Fulani Wanakwambia Sisiemu Haijafanya Lolote
 
🤣🤣🤣 labda alikua anamchamba gigi mane kwenye ule wimbo wake wa nampa papa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…