Naomba nikusahihishe ili kuondoa upotoshaji. Mwakyembe hajatamka: "Ndiyo tatizo la kuchukua data kwenye JamiiForums", bali ametamka:
"...hilo ndio tatizo la kutegemea sana JamiiForums"; binafsi sioni ubaya wa kauli hii kwani mbali ya kupata habari JF au chanzo kingine chochote, ni vizuri to verify na vyanzo vingine kabla haujawa na uhakika na unachokisema. Vinginevyo Dr. Mwakyembe ni dhahiri anaheshimu sana JF kama chombo cha habari na hii ilidhihirika wakati ule anaugua.
Mkuu mbona unakomaa sana kutetea kauli ya Mwakyembe. Kuna uzi umemwaga mboga kuhusu hii issue fuatilia ili ujue JF chanzo cha uhakika au kanjanja.