Mwakyembe apuuza data za JamiiForums!

Mwakyembe apuuza data za JamiiForums!

Status
Not open for further replies.
Akijibu swali la mh. Wanje,kuhusu ukweli bandari ya Mtwara kubinafsishwa kinyemela,.mh.Mwakyembe amesema habari hizo hazina ukweli
"Tatizo unapata habari kutoka Jamii Forum"
 
hizo taarifa alizitoa zitto bungeni nadhani dili limebuma baada ya zitto kuliweka wazi
 
Akijibu swali la Wenje kuhusu kampuni ya Wallace ya Lebanon kupewa bandari ya Mtwara kama fidia inayodaiwa ATCL kwa kukodi ndege, Dr. Mwakyembe amemuasa Wenje kutofuatilia taarifa za Jamii Forums!
 
Alichosema ni kwamba "...hilo ndio tatizo la kutegemea sana JamiiForums"; binafsi sioni ubaya wa kauli hii kwani mbali ya kupata habari JF au chanzo kingine chochote, ni vizuri to verify na vyanzo vingine kabla haujawa na uhakika na unachokisema.
 
Hajui atendalo, angejua kuwa kupona kwake kuna mkono wa JF angeishukuru na kuichangia mara dufu!

Jf ndio iliyofichua njama zote za jaribio la yeye kuuawa na kila aina ya hila dhidi yake lakini leo anaiona si chochote?

Aje ajiunge huko tumpige msasa huyo!

Ni kawaida kwa binadamu yeyote kubeza kile kinachoelekea kutokubaliana naye hata kama ni cha kweli. only the strongest few accept a painful fact
 
Hajui atendalo, angejua kuwa kupona kwake kuna mkono wa JF angeishukuru na kuichangia mara dufu!

Jf ndio iliyofichua njama zote za jaribio la yeye kuuawa na kila aina ya hila dhidi yake lakini leo anaiona si chochote?

Aje ajiunge huko tumpige msasa huyo!

Mda utasema,ulitazama mikono ilivyoharibika?
 
Katika hatua za mwisho za kupitisha bajeti ya Miundombinu, Wenje alisimama na kusema kuwa ana taarifa za kuwepo vikao vya kuipa kampuni fulani bandari(sijaimaki vizuri) ikiwa ni namna ya kulipa deni la ATCL ambalo ni kubwa mno.
Mwakyembe amejibu kuwa kama kuna mtu anafanya hiyo mipango bila kumjuza yeye aendelee.
Lakini katika hali isiyo ya kawaida akamwambia Wenje, kuwa ana wasiwasi na taarifa zake, na akamalizia..."Ndiyo shida ya kutegemea habari za JamiiForums hiyo!
Mwakyembe Anaichkuliaje Jf huyu?
 
Akijibu swali la Wenje, Mwakyembe amesema kwamba taarifa zake si za kweli, "Ndiyo tatizo la kuchukua data kwenye JamiiForums."

Tujiulize, data za uwongo au uzushi ni hizi?

https://www.jamiiforums.com/interna...eased-obsolete-aircraft-for-air-tanzania.html

Naomba nikusahihishe ili kuondoa upotoshaji. Mwakyembe hajatamka: "Ndiyo tatizo la kuchukua data kwenye JamiiForums", bali ametamka:

"...hilo ndio tatizo la kutegemea sana JamiiForums"; binafsi sioni ubaya wa kauli hii kwani mbali ya kupata habari JF au chanzo kingine chochote, ni vizuri to verify na vyanzo vingine kabla haujawa na uhakika na unachokisema. Vinginevyo Dr. Mwakyembe ni dhahiri anaheshimu sana JF kama chombo cha habari na hii ilidhihirika wakati ule anaugua.
 
Akijibu swali la Wenje kuhusu kampuni ya Wallace ya Lebanon kupewa bandari ya Mtwara kama fidia inayodaiwa ATCL kwa kukodi ndege, Dr. Mwakyembe amemuasa Wenje kutofuatilia taarifa za Jamii Forums!

Sasa kulipuliwa ku wapi hapa mkubwa?
 
Msameheni wadau njaa inamsumbua yule, si yeye ndio alikua analia lia kama mtoto mdogo kwamba mafisadi wa chama chake kwa kushirikia na TISS wanataka kumuua? rafik zangu wazaramo wanamsemo "vilongwa mbali vitenda mbali", leo wamempa cheo (uwaziri kamili) kalizikaaaaa, mwacheni b4 2015 atalia tena!!!! huwezi kulala na adui hakakuacha salama.
Hivi na yule mnafiki mwenzie SITTA yupo? coz now days simsikii sikii, yeye gazeti likimwandika tofauti na anavyotaka utamsikia limenunuliwa na mafisadi!! mpaka JF imenunuliwa na mafisadi? Lol
 
swali alilouliza wenje kwani ni uongo jamani?!!..lile dili limepiga besela baada ya kutibuliwa
 
Sasa baadhi ya watu humu ndiyo wanazidi kuthibitisha alichokisema Mwakyembe maana hata alichokisema yeye baadhi ya watu humu wanakipindisha.
 
Mwakyembe hajaikejeli Jf, bali kasema ukweli. Kuna baadhi ya members humu wana tabia ya kutoa taarifa za uwongo
Ni kweli mungi, members wengine wanapindisha habari kama sio ku distort
 
Mwakyembe anaichafua Jamii forums kwa kuwa kaichokoza naanzisha uzi ambao nitayaweka mazungumzo hayo kuhusu kuuzwa kwa Bandari ya mtwara soon
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom