Mwakyembe apuuza data za JamiiForums!

Mwakyembe apuuza data za JamiiForums!

Status
Not open for further replies.
Mkataba ulishajadiliwa hapa JF kwa kirefu. Inawezekana ulikuwa bado hujawa memba. Tafuta tu hizo documents humu JF naamini utazipata. Ukikosa wasiliana na modereta kiongozi.

Mambo mengine hayahitaji hata ujuzi wa sheria kujua kwamba ni mkataba wa kipuuzi.

Ufisadi umetufikisha hapa sasa mpaka nchi inamegwa kufidia madeni.

mfanyie tafsir pengine lugha gongana au ndo yale yale uvivu wa kusoma, kwa faida yake awe na tabia ya kufanya tafakari kabla ya kuandika .
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom