Mwakyembe amfukuza mfanyakazi aliyestaafu 2013

Mwakyembe amfukuza mfanyakazi aliyestaafu 2013

Mkuu mwakyembe hajui hata aliyemfukuza kazi..ndiyo maana anafukuza wastaafu wa serikali..in short anakurupuka hafanyi utafiti kwanza...kumbuka hata utafiti wake wa PhD alikurupuka kuiwasilisha na baadae akaikana.
Kumbuka alifukuza kazi watu waliopitisha malighafi ya kutengeneza vitu flani akidai ni madawa ya kulevya baadae akaumbuka pale mahakama ya South ilipowaachia huru wenye mzigo.

Hii vita haiwezi..akae kimya.
Kwa hiyo hao jamaa kwenye CCTV wanaoonekana wanachukua mpango angewaacha tu, au sivyo!
 
Mwakyembe ni waziri mzigo, mkutupukaji, mbabaishaji.

Hana lolote kazi kuropoka tu, hana lolote alilolifanya kwenye hiyo wizara zaidi ya majungu na fitina.

Ukabila unamamaliza.

ATC mpaka sasa ndege moj ya kukodi, tren ya mabibo to posta.?

Eti mchapakazi?

Kakalia majungu bandari inakufa, ACT ipo ICU.

Hakuna anachojua zaidi ya kulia lia kwenye media kwa kutaka sifa za kijinga

Kakushiika pabaya wewe au babako/ndugu yako. Na bado atawamaliza. Acheni ushenzi.
 
Msomi yeyete akiwa kwa maccm anakuwa kama tahira hivi.

Hii ni aibu sana, ujuaji unamponza.

Kwanzia leo siwezi muita DR.

Mkuu umeongea kwa uchungu sana
 
Duh! huku sasa kuumbuana.kwa nini waziri kamani asimtafute kwanzan Dr. Mwakyembe ili waweke sawa records zao kabla ya kuruka hewani?

Ansjilipua mwenyewe, vipi mtumishi wako aliyestaafu bado ana live ID airport kama mtumishii wa Kilimo???? Common Tz!!
 
Mwakyembe ni waziri mzigo, mkutupukaji, mbabaishaji.

Hana lolote kazi kuropoka tu, hana lolote alilolifanya kwenye hiyo wizara zaidi ya majungu na fitina.

Ukabila unamamaliza.

ATC mpaka sasa ndege moj ya kukodi, tren ya mabibo to posta.?

Eti mchapakazi?

Kakalia majungu bandari inakufa, ACT ipo ICU.

Hakuna anachojua zaidi ya kulia lia kwenye media kwa kutaka sifa za kijinga

Hasira za nini ndugu? Mwosha huoshwa.
 
Waziri Titus kamani amesema mmoja wa watu waliotangazwa na Mwakyembe juwa wamefukuzwa aiport jana alishastaafu tangu 2013 na sio mfanyakazi wa serikali tangu wakati huo.

Waziri Kamani amesema ameshangazwa kuona mstaafu anatangazwa kuwa alikuwa mfanyakazi wa wizara yake kama alivyotangaza Mwakyembe jana.

Hata hivyo waziri kamani amesema anasubiri taarifa zaidi toka kwa Dr Mwakyembe kuhusu hatua alizotangaza jana kufukuza wafanyakazi wa wizara yake waliokuwa wakifanya kazi JKNIA.

Source:Radio one Habari
Nachokiona hapa ni kwa serikali kujivua nguo,mstaafu anafanya utapeli airport
 
Swali la kujiuliza ni kwamba huyo "Mstaafu" alikuwa anafanya nini Ofisini?
Kamani amekurupuka, Mwakyembe ametimiza wajibu wake wa kuwawajibisha watovu wa nidhamu, bila kujalisha kama kama walishastaafu au la...
 
Waziri Titus kamani amesema mmoja wa watu waliotangazwa na Mwakyembe juwa wamefukuzwa aiport jana alishastaafu tangu 2013 na sio mfanyakazi wa serikali tangu wakati huo.

Waziri Kamani amesema ameshangazwa kuona mstaafu anatangazwa kuwa alikuwa mfanyakazi wa wizara yake kama alivyotangaza Mwakyembe jana.

Hata hivyo waziri kamani amesema anasubiri taarifa zaidi toka kwa Dr Mwakyembe kuhusu hatua alizotangaza jana kufukuza wafanyakazi wa wizara yake waliokuwa wakifanya kazi JKNIA.

Source:Radio one Habari

Mawizarani wengi waliostaafu wanafanya kwa contract.

Inapaswa ujuwe hilo.
 
Msomi yeyete akiwa kwa maccm anakuwa kama tahira hivi.

Hii ni aibu sana, ujuaji unamponza.

Kwanzia leo siwezi muita DR.

Wewe vipi? Muite tu Dr. Kwa ccm hizi titles ni ceremonial, hazi akisi weledi wala usomi. Kwa mfano Dr Kikwete, Prof Majimarefu, Prof Maghembe, Prof Kapuya, Prof Muhongo na wengine wengi ambao ni mizigo!!
 
POMPO hii ATCL mwakyembe ndie alieizika kabisaaaa. Afadhali hata walioiua na kujaribu kuifufua
Mkuu nakubaliana nawe, na ukiangalia ni majungu yake na ukabila uliomjaa,

Sasa wafanyakaz wengi wapo mahakamani kutokana na hulka yake yakukurupuka na ipad.

Bandari ndio kabisaaa, kila siku bora ya jana..

Ni hodari kuongea kwenye media.
 
Last edited by a moderator:
Siyo tu nchi mbili tofauti, kwa kuwa hata katika nchi 2 tofauti, kutokana na maendeleo ya teknolojia ya mawasiliano kwa sasa, ni rahisi mno watu kuwasiliana kutoka nchi moja kwenda nyingine.

Lakini kwa jinsi ninavyoona communication breakdown kati ya Mwakyembe na Titus Kamani, ni kama vile waziri mmoja yupo duniani na waziri mwingine, yupo sayari ya Mars!!

Mwakyembe anaita media anatangaza majina na waliowaajiri hao ambao hawataki (yeye mwakyembe) hajawataarifu, bali anawataarifu baada ya kutoka kwenye media pamoja na ushahidi, haina heshima zaidi ya kum~ prove wrong yule aliyemteua huyo afisa kufanya kazi husika.
 
Kakushiika pabaya wewe au babako/ndugu yako. Na bado atawamaliza. Acheni ushenzi.
Hujui hata utaratibu wa kazi mkuu,

"Ushenzi" wangu unatokea wapi?

Nadhani wewe ndio kakushika vizuri, endelea kuka vizuri.
 
Wewe vipi? Muite tu Dr. Kwa ccm hizi titles ni ceremonial, hazi akisi weledi wala usomi. Kwa mfano Dr Kikwete, Prof Majimarefu, Prof Maghembe, Prof Kapuya, Prof Muhongo na wengine wengi ambao ni mizigo!!
Hahaha salute sana Mkuu, kumbe yapo mengi eeh!
 
- le kagame!! ha1 ha!

Le Mutuz
Mkuu tulikiwa wote sports lounge posta na kina Pinto, tukasema Mwakyembe kakurupuka issue ya Agnes Masogange na kipeperushi cha rafiki zako JAMBO LEO, Kina Juma kikakomalia hiyo story na kumponda Mwakyembe.

Jalida la hilo la JAMBO LEO, likaanza kumpaka mafuta tena na kumnyamazisha.

Sasa unamtetea nini ama ni hiyo MOU ya kina Masogange, Pinto, Jambo leo na Mwakyembe?
 
Mkuu nakubaliana nawe, na ukiangalia ni majungu yake na ukabila uliomjaa,

Sasa wafanyakaz wengi wapo mahakamani kutokana na hulka yake yakukurupuka na ipad.

Bandari ndio kabisaaa, kila siku bora ya jana..

Ni hodari kuongea kwenye media.
"Tanzania Ports Authority improves performance, to meet BRN targets
BY THE GUARDIAN REPORTER
13th May 2014

Set goals achieved by 84.2 percent

Tanzania ports authority (TPA)
Tanzania ports authority (TPA) Big Results Now (BRN) progress report covering the period of July 2013 to March this year shows tremendous performance improvement by the authority compared to the similar period last year.

Notably, performance of motor vehicle clearance in March this year was an average of 604 units which exceeded set target by 100.7 percent.

Among other reasons behind the good performance is the February resolution to have the port operational around the clock a decision that saw institution of 24 work hours for all government and private actors at the port."

Njia ya mwongo huwa fupi.
Kama ndugu yako ni kati ya walio mahakamani kuishitaki serikali basi ni lazima ni kati ya wale walioshiriki na wezi wa badndarini
 
Nguruvi3 lile Baraza lako la mawaziri, tena! Waziri mmoja anamshangaa waziri mwenziwe kupitia vyombo vya habari! Teamwork!
FJM ngoja yajitokeze ili wasio na macho waone na wasiosikia wasikie.

Tumesema sana, mara ya mwisho mtu mmoja akachukizwa na kuandika ''acha porojo wewe hakuna tatizo, tatizo ninyi wapiga kelele''

Hivi inakuwaje waziri ashindwe kunyanyua simu, kuandika email, kuandika barua na kutuma kwa mkono kutoka ofisi moja hadi nyingine?

Yote hayo ni sababu na dalili njema sana za udhaifu, utovu wa nidhamu wa serikali ya JK inayoelea kama boya.

Huko nyuma tulikuwa hatuyasikii haya, siku hizi imekuwa fashion. Dah!!JK serikali kama genge la nyanya. Kesho utasikia mwingine akimtukana balozi wa Denmark, keshokutwa mwingine akiongelea ajali zinazosababishwa na bara bara za mashimo Zambia etc etc

Halafu Pasco anatuambia nabii hakubaliki kwao, kama manabii ni hawa akina JK nitakuwa wa kwanza kuwafurumusha warudi kwa mungu

cc Mzee Mwanakijiji

Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom