Mwakyembe amfukuza mfanyakazi aliyestaafu 2013

Mwakyembe amfukuza mfanyakazi aliyestaafu 2013

Waziri Titus kamani amesema mmoja wa watu waliotangazwa na Mwakyembe juwa wamefukuzwa aiport jana alishastaafu tangu 2013 na sio mfanyakazi wa serikali tangu wakati huo.

Waziri Kamani amesema ameshangazwa kuona mstaafu anatangazwa kuwa alikuwa mfanyakazi wa wizara yake kama alivyotangaza Mwakyembe jana.

Hata hivyo waziri kamani amesema anasubiri taarifa zaidi toka kwa Dr Mwakyembe kuhusu hatua alizotangaza jana kufukuza wafanyakazi wa wizara yake waliokuwa wakifanya kazi JKNIA.

Source:Radio one Habari

Hiyo ndiofamilia ya kambale,bila mtu ana tamko Lake.
 
Mkuu mwakyembe hajui hata aliyemfukuza kazi..ndiyo maana anafukuza wastaafu wa serikali..in short anakurupuka hafanyi utafiti kwanza...kumbuka hata utafiti wake wa PhD alikurupuka kuiwasilisha na baadae akaikana.
Kumbuka alifukuza kazi watu waliopitisha malighafi ya kutengeneza vitu flani akidai ni madawa ya kulevya baadae akaumbuka pale mahakama ya South ilipowaachia huru wenye mzigo.

Hii vita haiwezi..akae kimya.

Mkuu hebu kuwa objective kidogo, mbona unapotosha kwa makusudi? Nyuzi kama hizi ni za kuelimisha zaidi usiweke propaganda.
 
Mkuu usilitazame suala hili juu juu, lazima kuwa analytical.

Inakuwaje mfanyakazi aliyestaafu anaendelea kufanya kazi na zaidi anajiongezea ulaji kwa rushwa.
Hii ni big scandal.

Maafisa utawala Uchukuzi na Wizara aliyotoka lazima wawajibike kwa hili.
Hapo airprt panaweza kuwa na mamluki, siye hatuna habari!

Heko Mwakyembe kwa kutibua maji.
MWakyembe anatafuta sifa na lengo lake lilikuwa kuwakumbuka Mawaziri wenzake , iweje atangaze kufukuzwa watu kazi ambao hana mamlaka nao ? Na kibaya zaidi anawapelekea. M waziri wenzake kupitia vyombo vya habari kuwa atawapa taarifa baadae , kwani yeye ni bosi wa Mawaziri wengine ? Subiri ni waziri wa utumishi naye at amkana MWakyembe na mkuu vautumishi wa umma naye atasema watumishi wa umma hawafukuzwi kazi bila kufuatwa kwa utaratibu uliwekwa kwa Mujibu wa sheria .....
 
- Eti source ni Radio One? duh!! ile wanayoitumia UKAWA kila wakati!! ama kweli ukistaajabu ya musa utaona ya firauni

Le Mutuz
Mitoto iliyovimbiwa utalijua tu, sasa Kamani naye ni UKAWA ? Nani kamwambia akasema huko ? Subiri kesho uhuru waandike .........jitu zima , akili za form one .....
 
vizuri sana kwa kweli mtu kashafkisha miaka60 kapewa mafao ya mamilioni bado unataka ufanye kazi ili iweje kutuzibia rizki tu tulioko mtaani tunaangaika...achia ngazi wakae wengine...binafsi nimefrahishwa staki kujua mengine...kwa mazuri tusifiwe kwa mabaya tukandye....
 
- Eti source ni Radio One? duh!! ile wanayoitumia UKAWA kila wakati!! ama kweli ukistaajabu ya musa utaona ya firauni

Le Mutuz
kweli ukawa imeikamata ccm pabaya! Kila wakiamka ukawa, wakilala ukawa, wakijamba ukawa..duh! Ukawa songeni mbele, msitie timu dodoma tafadhali, watanzania wengi wazalendo tupo pamoja na ukawa!
 
POMPO hii ATCL mwakyembe ndie alieizika kabisaaaa. Afadhali hata walioiua na kujaribu kuifufua
 
Last edited by a moderator:
vizuri sana kwa kweli mtu kashafkisha miaka60 kapewa mafao ya mamilioni bado unataka ufanye kazi ili iweje kutuzibia rizki tu tulioko mtaani tunaangaika...achia ngazi wakae wengine...binafsi nimefrahishwa staki kujua mengine...kwa mazuri tusifiwe kwa mabaya tukandye....
Wewe ndio maana ulifeli mitihani unasoma na kuelewa kinyume ........ni kwamba MWakyembe kafukuzwa mtu ambaye hayupo kazini kazi .....yaani amefukuza hewa na bado huyo mtu anaweza kumshitaki kwa kumchafulia jina na kumuita Mla rushwa , ......analo mwaka huu......
 
kweli ukawa imeikamata ccm pabaya! Kila wakiamka ukawa, wakilala ukawa, wakijamba ukawa..duh! Ukawa songeni mbele, msitie timu dodoma tafadhali, watanzania wengi wazalendo tupo pamoja na ukawa!

- Ukawa mmejikamata wenyewe sasa hata katiba yenu hamuijui mpaka msajili awakumbushe ndio mtahsika Taifa? khaaaa!!

Le Mutuz
 
Wanasiasa ni watu wa ajabu sana, nakumbuka naibu waziri wa tamisemi kassimu majaliwa, wakati amekwenda wilayani mbinga mkoani ruvuma aliwavua vyeo wakuu wa shule 6 za sekondari kwa matumizi mabaya ya pesa, lakini mpaka leo wako kazini wanadunda hakika siasa ni sihasa!
 
not so sure about that ila wateva nimeelewa nimefurah...dats all wewe uliesoma hongera zako!!!
 
not so sure about that ila wateva nimeelewa nimefurah...dats all wewe uliesoma hongera zako!!!
Wewe kidato cha ngapi ? Maana ukiona mtu anatumia dats jua ni form two C .....by the way soma tena uelewekeje mantiki ya hoja na uweze kuidadavua kwa ujadidivu wa hoja dadivu.......
 
Huyu waziri kamani anamaanisha nini?
Kamani kama umemsoma anaona kama vile Mwakyembe anamchomea kwa kumfanya yeye hawajibiki, lakini kwa taarifa yake hiyo ndio anazidi kujipaka mavi.
 
- Ukawa mmejikamata wenyewe sasa hata katiba yenu hamuijui mpaka msajili awakumbushe ndio mtahsika Taifa? khaaaa!!

Le Mutuz
haa haa, katiba yetu ipi? Mmeshikwa pabaya halafu mnaanza kukimbilia kwa msajili, nawahakikishia mtashindwa vibaya kwa hilo, yaani sasa mnahangaika vibaya mara makanisani, sijui misikitini, ili muonewe huruma! Mkajadili likatiba lenu la lumumba nyinyi wenyewe!
 
Mkuu usilitazame suala hili juu juu, lazima kuwa analytical.

Inakuwaje mfanyakazi aliyestaafu anaendelea kufanya kazi na zaidi anajiongezea ulaji kwa rushwa.
Hii ni big scandal.

Maafisa utawala Uchukuzi na Wizara aliyotoka lazima wawajibike kwa hili.
Hapo airprt panaweza kuwa na mamluki, siye hatuna habari!

Heko Mwakyembe kwa kutibua maji.
labda alikuwa anafanya kazi kwa mkataba
 
Back
Top Bottom