POMPO
JF-Expert Member
- Mar 12, 2011
- 6,690
- 2,402
sipo kwenye lap top ningekuonyesha madudu ya hapo bandarini..."Tanzania Ports Authority improves performance, to meet BRN targets
BY THE GUARDIAN REPORTER
13th May 2014
Set goals achieved by 84.2 percent
Tanzania ports authority (TPA)
Tanzania ports authority (TPA) Big Results Now (BRN) progress report covering the period of July 2013 to March this year shows tremendous performance improvement by the authority compared to the similar period last year.
Notably, performance of motor vehicle clearance in March this year was an average of 604 units which exceeded set target by 100.7 percent.
Among other reasons behind the good performance is the February resolution to have the port operational around the clock a decision that saw institution of 24 work hours for all government and private actors at the port."
Njia ya mwongo huwa fupi.
Kama ndugu yako ni kati ya walio mahakamani kuishitaki serikali basi ni lazima ni kati ya wale walioshiriki na wezi wa badndarini
Base on media mkuu na jamaa yenu anawa-win kwa media, nimesema anauwezo mdogo sana wa kuongoza wizara hiyo.
BRN ni bomu jingine la utapeli, uhalisia upo wapi? Pamejaa matapeli tupu wanacheza na media, tunataka uhalisia.